DOKEZO Kilakala: Mwalimu Mkuu anashirikiana na Mwenyekiti kuficha taarifa za ulawiti kwa Mwanafunzi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
😂😂😂😂
 
Pole,umenikumbusha miaka ya 2008 nilifika hapo Kilakala home of gifted girls kikazi.Madizini hapo tulichakata nyama haramu.Morogoro ni tamu,najichanga one day ntakuja kuchakata mbususu nna manzi hapo Mzumbe
Wapare bwana
 
Hiyo issue serikali za mtaa watoe ushirikiano kwa mzazi lifije kwenye ngazi za sheria huyo mkuu wa shule afanye kazi ngapi taaluma na malezi ya mtoto tena uko nyumbani yeye atokua na taarifa sahii mtoto kafanyiwa ukatili nyumani ni vema serikali ya mtaa waambatane na mzazi kulishughulikia hilo
 
Uko sahihi sana, kosa la mkuu wa shule ni kumshinikiza mzazi kuacha kufuatilia jambo hili wakati yeye kama mlezi na msomi ilibidi atoe ushauri na mwongozo sahihi kwa mzazi.
 
Namba ya polisi kata unayo, uripoti yule kijana naona anaweza kushughulikia hilo.
 
Hao waliomlawiti ni ndugu zake wako wapi?
Dawa ya walawiti ni kukata vikojoleo vyao na kuwaacha waendelee kujenga taifa, kuwafunga ni matumizi mabaya ya kodi zetu,

Hao ni waharibifu na hawezi kuisha na tunao hata kwenye huu uzi na ni wepesi sana kuwatukana mashoga na kushinikiza wauwawe huku wao wakiendelea kubaka na kulawiti watoto.

Kuna moja lipo kwenye huu uzi linajisifu kubaka watoto wa shule kwenye Miembe, hapo hutaona akikemewa atakua shujaa ila likija suala la ushoga kila mmoja anajifanya kupandwa na kichaa cha hasira.
 
We punga mamito?
 
Usikute huyo mwalimu na Mwenyekiti wake ni walewale.
 
Nimesoma andiko hili,NAMTETEA MWALIMU.Jambo limeanzia shule wao ndio walimshauri mzazi kwenda kwenye vyombo vya sheria(polisi).Kule tena badala wafanye wajibu wao kama polisi wakamrudisha tena huyu mzazi kuwa sijui aende S/ mtaa,s/mtaa nayevakachanganyikiwa afanyeje,naye akairudisha shule!! Sasa shule wafanyeje?Suala waliloona linahitaji kupelekwa polisi wao wamerudishiwa.Hivyo kwa nafasi yao wanamwambia mzazi alimalize.Ndio ni sawa kwani kuliko mzazi kwenda kuwafungq jela maisha hao watoto wake wengine ni bora alipeleke kwenye ukoo lifanyiwe maamuzi makali ya kiukoo.
 
Uko sahihi sana, kosa la mkuu wa shule ni kumshinikiza mzazi kuacha kufuatilia jambo hili wakati yeye kama mlezi na msomi ilibidi atoe ushauri na mwongozo sahihi kwa mzazi.
Kosa la mzazi ni kupeleka kesi shule wakati imetokea nyumbani hapa mkuu wa shule hapaswi kabisa kulaumiwa
Wao waende Moja kwa Moja kituo Cha polisi watoe ripoti kwa kupitia serikali ya mtaa watuhumiwa wakamatwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…