DOKEZO Kilakala: Mwalimu Mkuu anashirikiana na Mwenyekiti kuficha taarifa za ulawiti kwa Mwanafunzi

DOKEZO Kilakala: Mwalimu Mkuu anashirikiana na Mwenyekiti kuficha taarifa za ulawiti kwa Mwanafunzi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Kosa la mzazi ni kupeleka kesi shule wakati imetokea nyumbani hapa mkuu wa shule hapaswi kabisa kulaumiwa
Wao waende Moja kwa Moja kituo Cha polisi watoe ripoti kwa kupitia serikali ya mtaa watuhumiwa wakamatwe
Hiyo ndo jibu sahii zaidi mkuu wa shule ajui chochote hapo atatoa ushirikiano upi sasa kama si kumpotezea mda
 
Vitendo vya unyanyasaji wa kingono vimeendelea kushamiri katika nchi yetu na tunategemea jamii iwe na ushirikiano katika kupinga na kutokomeza uovu huu ili kuokoa jamii yetu.

Katika hali ya kushangaza, mwanafunzi mmoja (jina linahifadhiwa) (KE) wa shule ya msingi Kilakala katika manispaa ya Morogoro amebainika kufanyiwa vitendo hivyo na ndugu zake 2 ambao kwa nyakati tofauti wamekuwa wakimwingilia mwanafunzi huyo kinyume na maumbile.

Baada ya walimu kubaini hilo, walimshauri mzazi kuchukua hatua stahiki ambapo mtoto alipelekwa hospitali kwa uchunguzi na madaktari walibaini kuwa ni kweli mtoto amekuwa akiingiliwa hivyo alipatiwa matibabu ya awali.

Mara baada ya hatua hiyo, mzazi alikwenda kuripoti polisi na polisi walihitaji akaripoti kwanza kwenye serikali ya mtaa, kiongozi wa serikali ya mtaa akamwelekeza mzazi kuanzia kwa mwalimu mkuu.

Jambo la ajabu ni kuwa mwalimu mkuu ambaye ni mwanamama amemshauri mzazi kuwa kwakuwa mtoto amepata matibabu basi hakuna haja ya kulipeleka kwenye vyombo vya sheria hivyo kumsihi mzazi asiendelee kufuatilia.

Pia amewatisha walimu wasitoe ushirikiano kwa mtu yeyote kuhusiana na jambo hili.

Binafsi nilitegemea kuwa mwalimu mkuu ambaye ni mama angeshirikiana na mama wa mtoto kuhakikisha mtoto anapata haki yake badala yake, yeye ndiye anamshawishi kuachana na jambo hilo.

Pili nilitegemea polisi kufanyia kazi jambo hili hata kama mlolongo wa utoaji taarifa haukuwa sahihi.

Tatu nilitegemea ofisi ya serikali ya mtaa ingetoa ushirikiano kumsaidia mwananchi wake.

Nadhani mambo yamekwenda hivyo kwakuwa aliye lawitiwa si mtoto wao kwahiyo haiwahusu.
Wote wakamatwe wapelekwe polisi ama jela kuna minjemba inawasubiri kule.
 
Hao waliomlawiti ni ndugu zake wako wapi?
Dawa ya walawiti ni kukata vikojoleo vyao na kuwaacha waendelee kujenga taifa, kuwafunga ni matumizi mabaya ya kodi zetu,

Hao ni waharibifu na hawezi kuisha na tunao hata kwenye huu uzi na ni wepesi sana kuwatukana mashoga na kushinikiza wauwawe huku wao wakiendelea kubaka na kulawiti watoto.

Kuna moja lipo kwenye huu uzi linajisifu kubaka watoto wa shule kwenye Miembe, hapo hutaona akikemewa atakua shujaa ila likija suala la ushoga kila mmoja anajifanya kupandwa na kichaa cha hasira.
Mie ndo wanapo nichosha hapoo tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ninachoona mlezi na ticha wanaona wanaenda kupoteza familia ya mlezi kwa matendo yao.
 
Wakuu wa shule sijui wakoje ilitokea dar pia watoto Kumi walikutwa chooni wanakula (Mda kidogoo)wakiume Tena,mkuu WA shule akasema habaro ifichwe Hawa wakuu Hawa sijui Wana shidaa Gani!!
 
Back
Top Bottom