Kile ambacho unakionea aibu ndio hichohicho kitakachokupa matokeo yatakayo kushangaza

Endelea kujifunza Zaidi ili kupata level of confidence,
Tafuta mabloo wa ukweli wakupe starting points and strategies
Vp mbona unache AU issue yako ni ya Ainayake
 
Nikiwa ofisa kijana msomi mtanashaji niliona aibu shughuli ya kilimo nikihofia kuchekwa iweje niwe mtu shamba wakati mshahara napata. Niliingia kwenye kilimo cha mazao mchanganyiko ndani ya miaka miwili nilipata fedha ambazo sijawahi kuzipata katika mshahara wangu wa mwezi. Nimenogewa na kilimo japo na kazi za ofisi nafanya
 

Ulifanya uamuzi wa msingi mapema sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…