Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #21
Ni Kweli mkuu, Hata Dili chafu zilizo Wahi kufanya , zilinilipa sana
Siku zote waovu wana imani kubwa kuliko waliowema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Kweli mkuu, Hata Dili chafu zilizo Wahi kufanya , zilinilipa sana
Endelea kujifunza Zaidi ili kupata level of confidence,kujilipua ni kitu kigumu sana
tena kama hujiamini ndo balaa
😂😂😂😄
Ukiona hivyi ujue ujana ndio ninauaga.
Vp mbona unache AU issue yako ni ya AinayakeEndelea kujifunza Zaidi ili kupata level of confidence,
Tafuta mabloo wa ukweli wakupe starting points and strategies
A kind of procrastinating?Kuna kitu nakionea aibu tokea 2021, kimekuwa kama mzigo sasa kila siku nakiwaza
You're rightA kind of procrastinating?
Advice: kill it
Activate action mode.You're right
But how exactly?
Nimehangaika sana kutafuta namna
Nikiwa ofisa kijana msomi mtanashaji niliona aibu shughuli ya kilimo nikihofia kuchekwa iweje niwe mtu shamba wakati mshahara napata. Niliingia kwenye kilimo cha mazao mchanganyiko ndani ya miaka miwili nilipata fedha ambazo sijawahi kuzipata katika mshahara wangu wa mwezi. Nimenogewa na kilimo japo na kazi za ofisi nafanya