Kile kiapo cha damu hiki hapa

Nilipokuwa sec Kuna best yangu aliniomba tufanye yamini/amini yaani tujichanje vidoleni tuunganishe damu. Nilikataa kabisa Ila alisema hapendi kunipoteza anataka tuishi mpk mwisho wetu km ndugu. Niliona B.Mkapa nae akifanya yamini na best friend wake
 
Uliepuka janga kubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli maana toka 2008, hadi leo hatuwasiliani, baada ya kupata ndoa. Nilikuwa naenda pale ofc kwake mwisho nikaamua kumuacha aishi maisha yake.Akapotea kabisa hata watoto wetu hawajuani kabisa.
yake.Akapotea kabisa hata watoto wetu hawajuani kabisa[emoji848][emoji2827]
 
yake.Akapotea kabisa hata watoto wetu hawajuani kabisa[emoji848][emoji2827]
Tungekula yamini ya damu ingekuwa na shida kwa sasa eti? Maana yeye alinitangulia kimaisha ndoa, familia, na mengineyo ndiyo akavunja undugu wetu.
 
Tungekula yamini ya damu ingekuwa na shida kwa sasa eti? Maana yeye alinitangulia kimaisha ndoa, familia, na mengineyo ndiyo akavunja undugu wetu.
Kiapo cha yamini ni kibaya mambo yakienda tofauti
 
Mkuu Habari yako?sasa hiki kiapo cha Damu faida yake ipo wapi? Na je matumizi yake yakoje?ingaw aumeleza vizuri lakini hujafafanuwa zaidi iweje ufanye hicho kiapo cha Damu?Na ni kwa ajili ya kinga au kudhuru au kumfanya mtu akupende?hebu funguka mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…