Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliepuka janga kubwa sanaNilipokuwa sec Kuna best yangu aliniomba tufanye yamini/amini yaani tujichanje vidoleni tuunganishe damu. Nilikataa kabisa Ila alisema hapendi kunipoteza anataka tuishi mpk mwisho wetu km ndugu. Niliona B.Mkapa nae akifanya yamini na best friend wake
Ni kweli maana toka 2008, hadi leo hatuwasiliani, baada ya kupata ndoa. Nilikuwa naenda pale ofc kwake mwisho nikaamua kumuacha aishi maisha yake.Akapotea kabisa hata watoto wetu hawajuani kabisa.
yake.Akapotea kabisa hata watoto wetu hawajuani kabisa[emoji848][emoji2827]Ni kweli maana toka 2008, hadi leo hatuwasiliani, baada ya kupata ndoa. Nilikuwa naenda pale ofc kwake mwisho nikaamua kumuacha aishi maisha yake.Akapotea kabisa hata watoto wetu hawajuani kabisa.
Tungekula yamini ya damu ingekuwa na shida kwa sasa eti? Maana yeye alinitangulia kimaisha ndoa, familia, na mengineyo ndiyo akavunja undugu wetu.yake.Akapotea kabisa hata watoto wetu hawajuani kabisa[emoji848][emoji2827]
Madhara yake ni yepi kama sisi tungeingia huko kwenye yamini.Kiapo cha yamini ni kibaya mambo yakienda tofauti
Mkuu Habari yako?sasa hiki kiapo cha Damu faida yake ipo wapi? Na je matumizi yake yakoje?ingaw aumeleza vizuri lakini hujafafanuwa zaidi iweje ufanye hicho kiapo cha Damu?Na ni kwa ajili ya kinga au kudhuru au kumfanya mtu akupende?hebu funguka mkuu.WRITTEN IN BLOOD
I act this spell upon you
From my whole heart
Wishing you to never rest
No eat no sleep the rest part of your life
I hope your will waste away
And I hope you will never spend another penny I ought to have
WISHING THIS FROM MY WHOLE HEART
Haya ni maneno mabaya mno! Ni spell mbaya kabisa
Kinachofanyika:~~~
Mwenye kutamka/kunuiya hii Laana hujikata kidogo na kukinga damu kiasi kisha kuchukua karatasi na Kijiti na kuandika haya maneno kwa kutumia wino wa damu
Kisha anaweza kufanya yafuatayo
-kuloweka ile karatasi na kunywa ile mixer ya damu na maneno au
-kwenda kumwaga ile mixer njiapanda au
-kwenda kumwaga ile mixer mtoni au baharini au
Kuchoma moto ile karatasi
Kila kimoja hapo kina athari yake
NB: Kama wewe ni mshika dini si vema kujiapiza au kulipa visasi kwakuwa Mungu anajua na anaona kikubwa ni KUSAMEHE
CC: [/USER] chrissleon lazalaza na wote waliokuwa na interest ya hiki kitu