Kitangiri15
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 348
- 734
Niliwahi kumhisi mchumba wangu anacheat(doctor) nikakagua simu yake na kukutana na msg za wanaume tofauti tofauti ila yeye alishikilia msimamo kuwa wanamtongoza tu ila hawataki.mwishoni alishika biblia akaweka kiapo kuwa hatanisaliti Mwaka mmoja mbele alisaliti na tukaachana. Ameolewa ila kila nikitafakari yanayojiri ktk maisha yake nahisi kile kiapo hakijamuacha salama