Kile kiapo cha damu hiki hapa

Kile kiapo cha damu hiki hapa

Niliwahi kumhisi mchumba wangu anacheat(doctor) nikakagua simu yake na kukutana na msg za wanaume tofauti tofauti ila yeye alishikilia msimamo kuwa wanamtongoza tu ila hawataki.mwishoni alishika biblia akaweka kiapo kuwa hatanisaliti Mwaka mmoja mbele alisaliti na tukaachana. Ameolewa ila kila nikitafakari yanayojiri ktk maisha yake nahisi kile kiapo hakijamuacha salama
 
Na kiapo kingine ni kile cha kuapia Mama ama Mungu....Kwa ishu ambayo unadanganya na unataka dhambi yake iwe ndogo kidogo wengi wakiambiwa apia hicho usemacho ....Chap anasema haki ya mama vile...na wale maconcord unasikia haki ya Mungu vile...
wasalimie maconcord
 
[emoji848][emoji30][emoji23]

Jr[emoji769]
Nipo nje ya mada....
Mimi tangu juzi nimeanza kujaribu kufanya Astral Projection lakini nashindwa
Jana nikajaribu na kufanya Death Meditation nikiwa nimelala kitandani
Nitakua nakosea wapi mkuu haswa Astral Projection ndo nna shida nayo sana....lengo kuu nataka kuitembelea familia yangu iliyopo nje ya mkoa in Spirit Body na kuna mambo mengi ya kufanya ikibidi nisepe mazima bila kutumia mbinu ya kujiua

Naomba utafute movie ya Woop Goldberg inaitwa Ghost ya mwaka 1990 kuna matokeo mule naona umewahi yaelezea
 
Hakuna shida ila sikushauri sana kuanza kufanya hizo hatua kubwa kabla ya kujiweka vizuri kwenye hizi za msingi
Astral projection ni ngumu na ina masharti mengi ambayo inahitaji misingi imara toka kwenye breathing na empty meditation
Death meditation nayo ina madhara yake kama huna misingi pia hebu isome hapa
Nipo nje ya mada....
Mimi tangu juzi nimeanza kujaribu kufanya Astral Projection lakini nashindwa
Jana nikajaribu na kufanya Death Meditation nikiwa nimelala kitandani
Nitakua nakosea wapi mkuu haswa Astral Projection ndo nna shida nayo sana....lengo kuu nataka kuitembelea familia yangu iliyopo nje ya mkoa in Spirit Body na kuna mambo mengi ya kufanya ikibidi nisepe mazima bila kutumia mbinu ya kujiua

Naomba utafute movie ya Woop Goldberg inaitwa Ghost ya mwaka 1990 kuna matokeo mule naona umewahi yaelezea

Jr[emoji769]

Meditation ngumu kuliko zote ni ile ya kifo - JamiiForums
 
Back
Top Bottom