Kile kiapo cha damu hiki hapa

Kile kiapo cha damu hiki hapa

Kila binadamu ana uwezo wa kufanya hayo na zaidi Occult ni mojawapo ya powers za binadam. Wakati mwingine maneno, na visualisation vinatosha kumlaani mtu au kumtakia mema au kupata kile unachotaka.

Hebu funguka zaid mkuu...
 
Nafanya nikiwa uchi ila nikiwa nimevaa khanga.
Ila hujanijibu maneno yote hayo ena mara 3 yataenea kwa mshumaa..
....mapenzi yake yoe yahamie kwangu....
Na majibu nayapata lini...
Utafanyaje ukiwa uchi? kwani mimi nimeandika kitu gani hapo juu? unauliza jibu wakati nimesha weka kila kitu kipo wazi bibie amu ningelikuwa karibu ningekuja kukufundisha namna ya kufanya .
 
Utafanyaje ukiwa uchi? kwani mimi nimeandika kitu gani hapo juu? unauliza jibu wakati nimesha weka kila kitu kipo wazi bibie amu ningelikuwa karibu ningekuja kukufundisha namna ya kufanya .

Dr hujanj7bu maeneo yanaenea kwa mshumaa????
 
Mkuu mm noomba msaada, wifi yenu atakua kanifanyia hii kitu maana zaamani nilikua kauzu kwake ciz confidence zero akiniambia jambo ciwez kupinga kama namwogopa, msaada wa kuchomoka tafadhar.
 
Dr hujanj7bu maeneo yanaenea kwa mshumaa????
Bibie amu inaonyesha mzito kuelewa hebu soma tena haya maelekezo ya Duwa yenyewe hapo chini.

KUMVUTA MPENZIKWA KUTUMIA MSHUMAA:



Hii ni mojawapo ya njia zakumvuta mpenzi au
kumrudisha mpenzi aliyetoroka au kuchukuliwa na
mtu.

Chukua Mshumaa Mweupe, chagua ule ambao
utayeyuka upesi kwa sababu utakapouwasha
unatakiwa uwe unauangalia mpaka umalizike,
usichukue mshumaa utakaowaka kwa masaa 24,

Hakikisha mshumaa unakuwa mnene.
Andaa sehemu utakapofanyia kazi ndani ya
chumba. Tandika kitambaa cheupe, andaa sehemu
nzuri ya kuweka mshumaa ili usianguke, na uweke
chochote kinachomuhusu huyo unayemtaka

umdhibiti akiwa mpenzi au bosi wako au yoyote
yule. Unaweza kuweka picha yake, nguo yake,
nywele zake, kucha, au kitu chake chochote
ambacho aidha amekivaa au amekishika.

Mshumaa utakaotumia unatakiwa uandikwe maneno
yafuatayo mara tatu, (3) "Mapenzi yako yote yaje
kwangu" Maandishi hayo uyaandike kwa kutumia
mwiba wa Mti wa Waridi au unaweza kutumia pini.

Kazi hii inatakiwa ifanyike usiku wa kuamkia
Ijumaa, kuanzia saa sita na dakika moja na
kuendelea, na imalizike kabla ya jua halijatoka.
Weka mshumaa kati kati ya kitamabaa cheupe na
uuwashe, Katika kipindi ambao mshumaa unawaka
unatakiwa uuangalie mshumaa huo huku ukisema

kwa sauti ndogo jinsi unavyotaka mapenzi kutoka
kwa huyo unayemfanyia kazi au namna
utakavyomdhibiti, useme unataka nini kwake. Awe
vipi kwako. baada ya nusu saa ya kazi hiyo ondoka
lala na uwasche mshumaa uwake wenyewe mpaka
utakapomalizika.

Mshumaa unapokwisha chukua mabaki yake na
uyafunge na kitambaa cheupe ambacho ulikikalia
wakati ukifanya kazi yako na uyahifadhi mabaki
hayo mahala salama ambapo mtu yoyote
hatayaona.

Baada ya hapo toka Nje, elekea Kaskazini na ita
jina la unayemkusudia mara saba (7) na urudi
ndani bila kuangalia nyuma.

Matokeo ya kazi hiyo ni kuwa utapata unachokitaka
kutoka kwa huyo uliyemkusudia bila kukosa,

Mapenzi yanaweza yakawa makubwa sana au
yakawa ya kawaida, ila wewe ridhika na mapenzi
yake na muonee huruma na uwe mkarimu kwake.
Ikiwa imetokea hapo baadae wewe ukawa hutaki
tena kuwa na huyo uliyemkusudia unaweza

ukavunja penzi hilo kwa njia rahisi tu, inategemea
na unavyotaka wewe, chukua yale mabaki ya
Mshumaa uliyoyahifadhi na uyachome moto, au
uyazike katika njia panda, au uyatupe katika
mfereji wa maji yanayokwenda au ndani ya shimo
la choo au jalalani na mapenzi yatawkisha.

Kumbuka ni wajibu wako kuyatupa hayo mabaki ya
Mishumaa kama ukiwa humtaki tena huyo mtu
kuliko kubakia nayo na kumtesa yeye
 
Last edited by a moderator:
viapo hivi vibaya. ila sisi walimwengu huwa tuanajitoa ufahamu mda mwingine
 
Ni kweli mda mwingine mambo yanakaba mpaka MTU hajui afanye nini ili ajinisuru mwishowe anaingia kwenye mtego
Wakati wa matatizo huwa tunaangalia solution zaidi kuliko matokeo ya baadae
 
Muwe mnawaambia na namna ya kuvivunja hivyo viapo, maana vikishakolea huko walipoviweka wasije kujilaumu baadae
 
Hahaa kuna mdada alikuwa kila akikutwa na kosa anakimbilia biblia na kuishika kisha anaanza kuapa kumbe anazuga ili mume amuamini na mume wake anaamin sana dini hivyo akawa anamuamin mkewe kuwa hana kosa sababu ameapa akiwa na biblia cku alipogundua huo mchezo wa mkewe alichoka mwili na roho pia hahaaa
 
Back
Top Bottom