Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 997
- 1,220
Kwahio yanga akiwa juu ya simba inakuongezea shilingi ngapi kwenye maisha yakoYupo sahihi, coefficient za msimu huu ni 5, i.e robo simba shirikisho alama 2 zidisha kwa 5 = 10, ukijumlisha na za misimu minne iliyopita(ondoa za msimu 2020) inakuwa 28+10=38 Yanga ukiondoa za msimu 2020 ana alama 24, akifuzu robo alama 3 zidisha kwa coefficient za msimu huu 3Γ5=15 ukijumlisha 24+15=39 anakuwa juu ya Simba na Wydad
Anaenda nayo bank kuomba mikopo, pia anaweza itumia kama bima ya afya na chombo cha moto. Faida ni nyingi mno kwa vyura.K
Kwahio yanga akiwa juu ya simba inakuongezea shilingi ngapi kwenye maisha yako
Si kila mtu anathaminisha furaha yake katika pesa. Kuwa na heshima!K
Kwahio yanga akiwa juu ya simba inakuongezea shilingi ngapi kwenye maisha yako
Furaha ya moyo ni amani tosha! Pesa baki nazo wewe!Anaenda nayo bank kuomba mikopo, pia anaweza itumia kama bima ya afya na chombo cha moto. Faida ni nyingi mno kwa vyura.
Furaha ipi hiyo bila pesa ilihali mechi zenyewe unahitaji pesa kuzitazama.Furaha ya moyo ni amani tosha! Pesa baki nazo wewe!
Furaha ya moyo ni amani tosha! Pesa baki nazo wewe!
Basi wewe endelea 'kujikita' kwenye pesa, mimi nikienda kwa jirani kuangalia mpira wa timu yangu pendwa, ninafurahi, napata amani, hiyo inanitosha πFuraha ipi hiyo bila pesa ilihali mechi zenyewe unahitaji pesa kuzitazama.
Mkuu hata zile supu mnazokunywa kuna pesa imetumika.
Na wewe hiyo furaha yako ya pesa ungebaki nayo moyoni ingependeza kuliko kushobokea mazungumzo yetu yanayohusu furaha yetu ya mpira! Au nenda jukwaa la biashara na uchumi huko πHio furaha yako ungebaki nayo
Moyoni kimya kimya ingependeza
Yani hayana akiliCalculator unayo?
Hebu angalia hiyo link. Mpaka 2024 Simba ailikuwa wa 7 point 39, Kwa kwenda Robo tayari ameongeza point 3 maana yake kibindoni ana poin 42.
Utopolo nafasi ya 13, point 31, tumia calculator mkifika final ya CAF Champion League mtakuwa na point ngapi na utahitaji kufika final mara ngapi na probability ya kufika final back to back ni ngapi kwenu.
Na uwanjani utaenda zikitolewa tiketi bure, na jezi hutonunua, inshort umeamua kuwa mzigo kwa timu unayoshabikia. Halafu mkuu, hao wachezaji unaenda kuwatazama wanalipwa pesa.Basi wewe endelea 'kujikita' kwenye pesa, mimi nikienda kwa jirani kuangalia mpira wa timu yangu pendwa, ninafurahi, napata amani, hiyo inanitosha π
Pesa niliyonayo inanitosha! Hata nisingekuwa nayo nikisikiliza mpira redioni kwa jirani inatosha pia! Pesa ina kila kitu lakini kila kitu si pesa! Jifunze kufurahia maisha bila kuruhusu material things itawale furaha yako.Na uwanjani utaenda zikitolewa tiketi bure, na jezi hutonunua, inshort umeamua kuwa mzigo kwa timu unayoshabikia. Halafu mkuu, hao wachezaji unaenda kuwatazama wanalipwa pesa.
Unajumlishaje?Mpaka sasa yanga anazo alama 34 kwenye CAF ranking na tayari keshaingia kwenye 10 Bora ya caf ranking. Simba baada ya kufuzu robo fainali kafikisha alama 38, endapo yanga atafuzu robo fainali klabu bingwa atafikisha alama 39 na kumshusha Simba!
Kwa maana iyo ili Simba arudi kwenye nafasi yake tena ni mpaka afike nusu fainali ya shirikisho vinginevyo ataendeleza kuwa chini ya Yanga rasmi!
Sasa mbona sikuelewe mkuu, kumbe pesa unayo. Kwahiyo unahitaji pesa uhitaji?Pesa niliyonayo inanitosha! Hata nisingekuwa nayo nikisikiliza mpira redioni kwa jirani inatosha pia! Pesa ina kila kitu lakini kila kitu si pesa! Jifunze kufurahia maisha bila kuruhusu material things itawale furaha yako.
Ninahitaji. Lakini si kwa namna unayoizungumzia wewe kwamba siruhusiwi kufurahia mpira au kushabikia mpira, au kuzungumzia mambo yanayonipa furaha! Sasa hiyo pesa itakuwa na manufaa gani?Sasa mbona sikuelewe mkuu, kumbe pesa unayo. Kwahiyo unahitaji pesa uhitaji?
Ili ufurahie huo mpira unahitaji pesa si ndio? Au?Ninahitaji. Lakini si kwa namna unayoizungumzia wewe kwamba siruhusiwi kufurahia mpira au kushabikia mpira, au kuzungumzia mambo yanayonipa furaha! Sasa hiyo pesa itakuwa na manufaa gani?
Na ww umeingia kwny mfumo wa kizuzuMbumbumbu wanaweweseka, hawatulii,
Wamefuzu kwenye mashindano ya akina mama ila hawana furaha
Wanalipwa pesa zetu WanachamaNa uwanjani utaenda zikitolewa tiketi bure, na jezi hutonunua, inshort umeamua kuwa mzigo kwa timu unayoshabikia. Halafu mkuu, hao wachezaji unaenda kuwatazama wanalipwa pesa.