Kile kichaka cha CAF ranking kinakaribia kufyekwa rasmi na Yanga ndiyo maana stress na uoga ni mwingi upande wa pili

Kile kichaka cha CAF ranking kinakaribia kufyekwa rasmi na Yanga ndiyo maana stress na uoga ni mwingi upande wa pili

Yupo sahihi, coefficient za msimu huu ni 5, i.e robo simba shirikisho alama 2 zidisha kwa 5 = 10, ukijumlisha na za misimu minne iliyopita(ondoa za msimu 2020) inakuwa 28+10=38 Yanga ukiondoa za msimu 2020 ana alama 24, akifuzu robo alama 3 zidisha kwa coefficient za msimu huu 3×5=15 ukijumlisha 24+15=39 anakuwa juu ya Simba na Wydad
Kwahio yanga akiwa juu ya simba inakuongezea shilingi ngapi kwenye maisha yako
 
Gongowazi wengi haya mahesabu hawayajui wengi wanavamia tu baada ya kuona wadau wa sports wamezungumza.

Kuna moja humu lilikuwa linabisha bila hoja nikaamua kuliacha libaki na msimamo wake.

Ukimtoa changaule hakuna Gongowazi ambaye unaweza kufanya mabishano yenye hoja.

The rest ni kama alivyosema Manara.
 
Calculator unayo?

Hebu angalia hiyo link. Mpaka 2024 Simba ailikuwa wa 7 point 39, Kwa kwenda Robo tayari ameongeza point 3 maana yake kibindoni ana poin 42.

Utopolo nafasi ya 13, point 31, tumia calculator mkifika final ya CAF Champion League mtakuwa na point ngapi na utahitaji kufika final mara ngapi na probability ya kufika final back to back ni ngapi kwenu.

Yani hayana akili
 
Basi wewe endelea 'kujikita' kwenye pesa, mimi nikienda kwa jirani kuangalia mpira wa timu yangu pendwa, ninafurahi, napata amani, hiyo inanitosha 😀
Na uwanjani utaenda zikitolewa tiketi bure, na jezi hutonunua, inshort umeamua kuwa mzigo kwa timu unayoshabikia. Halafu mkuu, hao wachezaji unaenda kuwatazama wanalipwa pesa.
 
Yanga kila wakiota robo fainali, picha linalowajia ni hili

1000041951.jpg
 
Na uwanjani utaenda zikitolewa tiketi bure, na jezi hutonunua, inshort umeamua kuwa mzigo kwa timu unayoshabikia. Halafu mkuu, hao wachezaji unaenda kuwatazama wanalipwa pesa.
Pesa niliyonayo inanitosha! Hata nisingekuwa nayo nikisikiliza mpira redioni kwa jirani inatosha pia! Pesa ina kila kitu lakini kila kitu si pesa! Jifunze kufurahia maisha bila kuruhusu material things itawale furaha yako.
 
Mpaka sasa yanga anazo alama 34 kwenye CAF ranking na tayari keshaingia kwenye 10 Bora ya caf ranking. Simba baada ya kufuzu robo fainali kafikisha alama 38, endapo yanga atafuzu robo fainali klabu bingwa atafikisha alama 39 na kumshusha Simba!

Kwa maana iyo ili Simba arudi kwenye nafasi yake tena ni mpaka afike nusu fainali ya shirikisho vinginevyo ataendeleza kuwa chini ya Yanga rasmi!
Unajumlishaje?
 
Pesa niliyonayo inanitosha! Hata nisingekuwa nayo nikisikiliza mpira redioni kwa jirani inatosha pia! Pesa ina kila kitu lakini kila kitu si pesa! Jifunze kufurahia maisha bila kuruhusu material things itawale furaha yako.
Sasa mbona sikuelewe mkuu, kumbe pesa unayo. Kwahiyo unahitaji pesa uhitaji?
 
Ninahitaji. Lakini si kwa namna unayoizungumzia wewe kwamba siruhusiwi kufurahia mpira au kushabikia mpira, au kuzungumzia mambo yanayonipa furaha! Sasa hiyo pesa itakuwa na manufaa gani?
Ili ufurahie huo mpira unahitaji pesa si ndio? Au?
 
Na uwanjani utaenda zikitolewa tiketi bure, na jezi hutonunua, inshort umeamua kuwa mzigo kwa timu unayoshabikia. Halafu mkuu, hao wachezaji unaenda kuwatazama wanalipwa pesa.
Wanalipwa pesa zetu Wanachama
Acha kijana afurahie Yanga yake
 
Back
Top Bottom