Kile kichaka cha CAF ranking kinakaribia kufyekwa rasmi na Yanga ndiyo maana stress na uoga ni mwingi upande wa pili

Hao wengine walipigiwaje mahesabu!? Au hakuna aliyefuzu kipindi hicho!?.
Unaelewa maana ya 5 year ranking? Alama za mwaka husika zinazidishwa kwa coefficient ya 5, mwaka jana ×4, mwaka juzi × 3 nk. Hivyo alama huweza kupanda na kushuka kulingana na alama alizovuna mwaka husika
 
Haya ngoja tuone msimu ukiisha.
 
Usiwasanue mitaahira hiyo
 
Hu
Yanga wenye akili wawili tu
 
Waandishi walionunuliwa kuandika habari zao ndio changamoto sana,ndio maana huoni wachezaji wazawa wakiume a zaidi ya Fei toto wengine hawawaoni kisa wamenunuliwa kuwapamba ili wapate posho,tunataarifa zao ilatunawapotezea tu
 
Utopolo wenye akili wawili tu
1.Wakati Simba imeanza kushiriki michuano ya CAF Yanga ilikuwa INA kazi ya kuwapokea wapinzani WA Simba Airport.🤷
2.Wakati Simba inapambana Hadi kuongeza idadi ya timu kutoka Tz kufikia 4 kwenye mashindano hayo ya Africa Yanga ilikuwa inaicheka na kuiita MWAKALOBO.
3. Huna haja hata ya kufika darasa la pili kujua Shabiki WA Yanga ni wagonjwa🤣🤣🤣
 
Kwa hiyo...
 
Yaani mtu yuko robo fainali halafu unasema ana hali mbaya? Kweli standard za simba ni noma
Robo mara ya ngapi? Huwezi kujiona uko vizuri kwa kufika unapoishia kila siku..!! Kama kweli upo vizuri, songa mbele zaidi
 
Unaelewa maana ya 5 year ranking? Alama za mwaka husika zinazidishwa kwa coefficient ya 5, mwaka jana ×4, mwaka juzi × 3 nk. Hivyo alama huweza kupanda na kushuka kulingana na alama alizovuna mwaka husika
Sasa wewe mashindano bado yanaendelea umekaza ubongo tu 5 year ranking... Timu bado zinapambana au ndo mmefika mwisho CAF iwatole hizo 5 year ranking.
 
Sasa wewe mashindano bado yanaendelea umekaza ubongo tu 5 year ranking... Timu bado zinapambana au ndo mmefika mwisho CAF iwatole hizo 5 year ranking.
Wydad anapambana na nani? Tp Mazembe anaendelea kupambabia nini? Yanga inajulikana wameshavuna alama 10 , wengine wameshafuzu robo na wameshavuna alama, sasa tukipiga hesabu za wakati uliopo kuna ubaya gani? Tunazungumzia alama zilizopatikana mpaka sasa, tunafahamu bado kuna uwezekano wa baadhi ya timu kuongeza alama zaidi, mfano Yanga akifuzu robo atavuna alama 15, akienda nusu atavuna 20 nk. Sasa wewe usichokielewa hapo ni kipi?
 
Tulia, Subiri msimu utakwisha nafasi yenu itajulikana, hata ikishika namba 1 Africa mtakuwa mmestahili mtalipia bango mnywe na supu tusubiri msimu ujao. Hili ni suala endelevu, haliishi mkiwa juu ya Simba, utakufa ukiliacha linaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…