MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Unaelewa maana ya 5 year ranking? Alama za mwaka husika zinazidishwa kwa coefficient ya 5, mwaka jana ×4, mwaka juzi × 3 nk. Hivyo alama huweza kupanda na kushuka kulingana na alama alizovuna mwaka husikaHao wengine walipigiwaje mahesabu!? Au hakuna aliyefuzu kipindi hicho!?.