Kile kichaka cha CAF ranking kinakaribia kufyekwa rasmi na Yanga ndiyo maana stress na uoga ni mwingi upande wa pili

Wacha wee....πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Kirahisi rahisi tu namna hiyo?
 
Kiko wapi,bora mlivyotolewa mna mdomo sana na kujitia kujua
 
Simba anaendelea kuwa chini ya Yanga. Habari ya hapo kichakani.

Mmekaa kichani mwaraba kashusha wildfire πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwikwikwikwiiiiii

Naona kichaka kipo yanga ndio kafyekwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…