Mkubwa sindikizia na Ile picha ya mzungu aliye kifua wazi, zamani tulikuwa tunasema kifua gemuKiko Wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkubwa sindikizia na Ile picha ya mzungu aliye kifua wazi, zamani tulikuwa tunasema kifua gemuKiko Wapi
Wacha wee....😅😅😅Mpaka sasa Yanga anazo alama 34 kwenye CAF ranking na tayari keshaingia kwenye 10 Bora ya CAF ranking.
Simba baada ya kufuzu robo fainali kafikisha alama 38, endapo Yanga atafuzu robo fainali klabu bingwa atafikisha alama 39 na kumshusha Simba!
Kwa maana iyo ili Simba arudi kwenye nafasi yake tena ni mpaka afike nusu fainali ya shirikisho vinginevyo ataendeleza kuwa chini ya Yanga rasmi!
Hatuoni jibu,ngoja tujaribu na four figure.Kwani calculator zenu zinasemaje huko
Au sioMbumbumbu wanaweweseka, hawatulii,
Wamefuzu kwenye mashindano ya akina mama ila hawana furaha
Jibu likikosa kwenye cos angalia angalia kwenye sinHatuoni jibu,ngoja tujaribu na four figure.
Cos...Cosh, sijui niweke log ya 10
Wakumbushe tena mkuu... Rank zimekaa vipi sasa eeWanajifanya wamesahau
Kina nyoka kawagonga😂😂Kichaka kimefyekwa?.
Wame differentiate constant wakavuna kuaga mashindanoHatuoni jibu,ngoja tujaribu na four figure.
Cos...Cosh, sijui niweke log ya 10
🤣😂Tutunze akiba ya maneno
Nimekosa,au niende advance,sinh mkuu? Nna ham nipate jibuJibu likikosa kwenye cos angalia angalia kwenye sin
Kiko wapi,bora mlivyotolewa mna mdomo sana na kujitia kujuaMpaka sasa Yanga anazo alama 34 kwenye CAF ranking na tayari keshaingia kwenye 10 Bora ya CAF ranking.
Simba baada ya kufuzu robo fainali kafikisha alama 38, endapo Yanga atafuzu robo fainali klabu bingwa atafikisha alama 39 na kumshusha Simba!
Kwa maana iyo ili Simba arudi kwenye nafasi yake tena ni mpaka afike nusu fainali ya shirikisho vinginevyo ataendeleza kuwa chini ya Yanga rasmi!
Simba anaendelea kuwa chini ya Yanga. Habari ya hapo kichakani.Mpaka sasa Yanga anazo alama 34 kwenye CAF ranking na tayari keshaingia kwenye 10 Bora ya CAF ranking.
Simba baada ya kufuzu robo fainali kafikisha alama 38, endapo Yanga atafuzu robo fainali klabu bingwa atafikisha alama 39 na kumshusha Simba!
Kwa maana iyo ili Simba arudi kwenye nafasi yake tena ni mpaka afike nusu fainali ya shirikisho vinginevyo ataendeleza kuwa chini ya Yanga rasmi!
Tumetulia hapa, tupatie jibu sahihi sasa.Ku
Kuna 80% ya icho ninachokwambia kutokea ivyo Kaa kwa kutulia jibu sahihi utalipata soon!
HahahahaaNimekosa,au niende advance,sinh mkuu? Nna ham nipate jibu
KwikwikwikwiiiiiiMpaka sasa Yanga anazo alama 34 kwenye CAF ranking na tayari keshaingia kwenye 10 Bora ya CAF ranking.
Simba baada ya kufuzu robo fainali kafikisha alama 38, endapo Yanga atafuzu robo fainali klabu bingwa atafikisha alama 39 na kumshusha Simba!
Kwa maana iyo ili Simba arudi kwenye nafasi yake tena ni mpaka afike nusu fainali ya shirikisho vinginevyo ataendeleza kuwa chini ya Yanga rasmi!
Simba anaendelea kuwa chini ya Yanga. Habari ya hapo kichakani.
Mmekaa kichani mwaraba kashusha wildfire