Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Dec 13, 2025 #1 😄 Hivi mkuu wa kikosi kazi wa kujilimbikizia mali unataka kuwajibisha wanao jilimbikizia mali. Wote mnafaidi sasa ulitaka nani kutofaidi hii keki. Waziri mkuu hapa umechemka kama kuku wa kwenu kupikia mchemsho.
😄 Hivi mkuu wa kikosi kazi wa kujilimbikizia mali unataka kuwajibisha wanao jilimbikizia mali. Wote mnafaidi sasa ulitaka nani kutofaidi hii keki. Waziri mkuu hapa umechemka kama kuku wa kwenu kupikia mchemsho.
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,632 Dec 13, 2025 #2 Hatari tupu.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Dec 14, 2025 #3 Muda huongea... Cc: Mahondaw