Kile kikao cha mali za watumishi naona kimeishia pale pale

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
πŸ˜„ Hivi mkuu wa kikosi kazi wa kujilimbikizia mali unataka kuwajibisha wanao jilimbikizia mali.

Wote mnafaidi sasa ulitaka nani kutofaidi hii keki.

Waziri mkuu hapa umechemka kama kuku wa kwenu kupikia mchemsho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…