Black hermit
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 658
- 951
Hii hotel gani ipi wapi mkuu? Inaonekana imetulia sana
Nilitaka kuuliza hivyo hivyo lakini nafikiri itakuwa Hilton hotel au Hyatt, sina uhakika lakini Nokia83 atatupa jibu.Hii hotel gani ipi wapi mkuu? Inaonekana imetulia sana
inaitwa Posto Bella ipo maeneo ya bunju kama unaenda bagamoyo uko wanaenda wahuni tu kujificha weekends wanazuga wapo mkoani kikazi
Shukrani sana. Ebana tozi25 jibu limetolewa hapa. Nime google ebana kitu ya ukweli. Ngoja nifanye mpango weekend hii nikapumzike pande hizo.inaitwa Posto Bella ipo maeneo ya bunju kama unaenda bagamoyo uko wanaenda wahuni tu kujificha weekends wanazuga wapo mkoani kikazi
mara moja moja sio mbaya;wamejengewa binadamu watumie na sio wanyamaShukrani sana. Ebana tozi25 jibu limetolewa hapa. Nime google ebana kitu ya ukweli. Ngoja nifanye mpango weekend hii nikapumzike pande hizo. View attachment 888050View attachment 888051View attachment 888052
Ni kweli na bei ni dola 17 @ nightmara moja moja sio mbaya;wamejengewa binadamu watumie na sio wanyama
Wazinzi na Waasherati wamepata sehemu ya "machinjio".Ni kweli na bei ni dola 17 @ night
Sio mbaya iko poa,hoteli nyingi ndio bei zake uanzia 30,000,hakuna haja ya kwenda guest na kuondoka na mba.Ni kweli na bei ni dola 17 @ night
Bei yake pleaseinaitwa Posto Bella ipo maeneo ya bunju kama unaenda bagamoyo uko wanaenda wahuni tu kujificha weekends wanazuga wapo mkoani kikazi
Ndo sh ngapiNi kweli na bei ni dola 17 @ night
Posto belle pametulia sana,hata wahudumu nao wametulia sana..uzuri ni kifichoni flani hiviinaitwa Posto Bella ipo maeneo ya bunju kama unaenda bagamoyo uko wanaenda wahuni tu kujificha weekends wanazuga wapo mkoani kikazi
Hata asha ngedera anaweza kupelekwa kwa bei hioNi kweli na bei ni dola 17 @ night
Kwa nini waweke gharama zao kwa dola? Hapo kuna mianya ya uwizi tena inayoanzia kwa wahudumu ukifika anaweza sema exchange rate ya siku hiyo 3420Ni kweli na bei ni dola 17 @ night
Mkuu hiyo hotel sio kwa ajili ya watz tu. Hivyo si watu wote wako familiar na madafu yetu. Hivyo basi hiyo gharama nimeipata kayak.com na booking.com. Bila shaka ukienda physically bei itakuwa kwa madafu na cheap zaidi.Kwa nini waweke gharama zao kwa dola? Hapo kuna mianya ya uwizi tena inayoanzia kwa wahudumu ukifika anaweza sema exchange rate ya siku hiyo 3420
Dola ishawahi kufika 2800 Tanzania!?..Kwa nini waweke gharama zao kwa dola? Hapo kuna mianya ya uwizi tena inayoanzia kwa wahudumu ukifika anaweza sema exchange rate ya siku hiyo 3420