Kile kiti guest house huwa kina kazi gani?

Kile kiti guest house huwa kina kazi gani?

Black hermit

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2017
Posts
658
Reaction score
951
Mdau kutoka humuhumu JF anauliza sababu ya kuwekwa kiti cha plastiki katika baadhi ya guest house.
Anasema huwa anapata tabu sana pale anapopata kuku wa kienyeji akiingia tu hukimbilia kuketi kwenye kiti, sasa inamuwia vigumu kuanza kupetpet hadi akubali kupanda kitandani.

Wajuzi wa haya mambo tupeni uzoefu kidogo.
 
IMG_5638.JPG
 
Hii hotel gani ipi wapi mkuu? Inaonekana imetulia sana
Nilitaka kuuliza hivyo hivyo lakini nafikiri itakuwa Hilton hotel au Hyatt, sina uhakika lakini Nokia83 atatupa jibu.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
inaitwa Posto Bella ipo maeneo ya bunju kama unaenda bagamoyo uko wanaenda wahuni tu kujificha weekends wanazuga wapo mkoani kikazi
Shukrani sana. Ebana tozi25 jibu limetolewa hapa. Nime google ebana kitu ya ukweli. Ngoja nifanye mpango weekend hii nikapumzike pande hizo.
2124778.jpeg
114069993.jpeg
114069991.jpeg
 
inaitwa Posto Bella ipo maeneo ya bunju kama unaenda bagamoyo uko wanaenda wahuni tu kujificha weekends wanazuga wapo mkoani kikazi
Posto belle pametulia sana,hata wahudumu nao wametulia sana..uzuri ni kifichoni flani hivi
 
Kwa nini waweke gharama zao kwa dola? Hapo kuna mianya ya uwizi tena inayoanzia kwa wahudumu ukifika anaweza sema exchange rate ya siku hiyo 3420
Mkuu hiyo hotel sio kwa ajili ya watz tu. Hivyo si watu wote wako familiar na madafu yetu. Hivyo basi hiyo gharama nimeipata kayak.com na booking.com. Bila shaka ukienda physically bei itakuwa kwa madafu na cheap zaidi.
 
Kwa nini waweke gharama zao kwa dola? Hapo kuna mianya ya uwizi tena inayoanzia kwa wahudumu ukifika anaweza sema exchange rate ya siku hiyo 3420
Dola ishawahi kufika 2800 Tanzania!?..
 
Back
Top Bottom