jogoo_dume
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 2,204
- 1,939
Iko affordable sana.Ni kweli na bei ni dola 17 @ night
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iko affordable sana.Ni kweli na bei ni dola 17 @ night
Vitu vzr vipo lkn sasa watu ndyo hatuna hela!Unakwenda kujichimbia bunju ndani ndani huko kuanzia ijumaa. Unaitafuna biology tartibuuuu
Kwa pesa ipi uliyonayo mkuu. Chumba ni Tshs elfu80Shukrani sana. Ebana tozi25 jibu limetolewa hapa. Nime google ebana kitu ya ukweli. Ngoja nifanye mpango weekend hii nikapumzike pande hizo. View attachment 888050View attachment 888051View attachment 888052
Unataka kuona pesa yangu au umekusudia nini?Kwa pesa ipi uliyonayo mkuu. Chumba ni Tshs elfu80
Mkuu mara moja kwa mwaka si kitu. Ni kujipanga tuVitu vzr vipo lkn sasa watu ndyo hatuna hela!