Kile unachoandika mtandaoni kinasadifu jinsi ulivyo

Umeandika pumba kabisa, pambafu! Bora ungekaa kimya!
 
Yani huyo mdogo wako angesoma huu uzi wako angegundua kumbe shemeji yake ana IQ kubwa sana kulinganisha na dada yake....

Hivi kwanini hatupendi kukaa kimya mambo mengine yapite...
 
Yani huyo mdogo wako angesoma huu uzi wako angegundua kumbe shemeji yake ana IQ kubwa sana kulinganisha na dada yake....

Hivi kwanini hatupendi kukaa kimya mambo mengine yapite...
IQ zinatofautiana mkuu, shemeji hawezi kuwa na IQ sawa na dada na ndio ukweli but heading itabaki kuwa ukweli
 
Na ndio ulivyo hata katika maisha yako halisi mtu wa kukurupuka na kutukana bila sababu. Una hoja pia usikilizwe
Una assume kwamba unayajua maisha yangu halisi! Sasa, hapo nani kakurupupa?Maisha yangu yapi unayoyajua wewe? Eti nimetukana! Pambafu ni tusi kwenye kamusi? Mbona unaropoka ovyo wewe!
 
Kumbe unampenda Chizi Maarifa hutaki tu kumfungukia.

Humu tuna ID fake ili mtu uishi uhalisia wako. Huko insta, fb, X tunajificha sana kwasababu ya kufahamika.

MWache aandike anachojiskia, hiyo ndo faraja yake. Akiongea huko kwenu mnamuona hana akili na kuanza kumuita majina ya ajabu na ndio mwanzo wa msongo wa mawazo, watu kujidai mpo smart kwa head kumbe moyoni mnaumia.
 
h
halafu lisingo mamá linajifanya kuja naliuzi lake eti "unacho andika ndio uhalisia wako"🤣Kwahio hapa ushaajizihirisha uhalisia wako tayari.

singo mamá wenzako wanajishuhulisha wewe umeganda kwenu tuu kulea mume umeshindwa dah utapata tabú sana bibi
 
Mkuu umesoma huku unasinzia nini,,???
 
Ulichosema ni kweli, lakini wabongo wengi tunamisinterpret kati ya matani na kujidharaulisha. Matani hayana personality, mtu yeyote bila kujali hadhi yake, anaweza kufanya utani wakati na mahali panapostahili. Ndio maana hata waheshimiwa wabunge wakati fulani wanataniana. Matani yana umuhimu wake ikiwa ni pamoja na kujiburudisha, kurelease tension, nk. Hata rais mstaafu Donald Trump, anataniana na rais Joe Baiden. Tatizo letu sisi wabongo tukitaka kumchafua au kumharibia mtu utu au heshima yake katika jamii, tunabatilisha mambo; yaani jambo linaloonekana kawaida wakifanya watu wengine, lakini akifanya mtu usiyempenda, jambo hilohilo linageuka kuwa kituko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…