trudie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 3,668
- 8,745
- Thread starter
- #241
Kweli kabisa mkuu, watu wananiattack na kunitukana ila ni kweli kabisa. Haijalishi niliyepost ninajipotray vipi humu hio haizuii kusema ukweli.Hakika, Niliwahi andika hapa | What you post online speaks VOLUME about who you really are. POST with intention. REPOST with caution!"