Kile unachoandika mtandaoni kinasadifu jinsi ulivyo

Jana usiku wakati nimekaa na mdogo wangu wa kiume mkubwa anayenifwata kuzaliwa akaniambia "Dada kumbe baba fulani (akamtaja baba mtoto wangu) ndio hana akili hivyo? Yaani jinsi nilivyokuwa namheshimu kumbe ndio ujinga anaouandikaga mtandaoni?

Kwanza shem alivyo busy vile muda wa kuandika ujinga ule anapata wapi, huoni kama anakuaibisha hata wewe? Yaani kusema kweli baada ya kusoma threads zake leo nimemdharau sana. Kweli unaweza kuwa umesoma, una kazi nzuri na pesa ila kichwa hakina akili."

Nikamuuliza umeijuaje ID yake mbona zaidi yangu hakuna anayeijua au ulipekua simu yangu kusoma PM zangu eeh? Akajibu hapana, sehemu nyingi sana anatagiwa hata kuna uzi wake pia alijisema yeye ndio baba wa anko wangu. Kweli Shemeji anajiaibisha sana hata kama tunatumia fake IDs (Mimi na dogo tunazijua ID's zetu).

Baada ya hapo ikabidi nianze kumuelekeza kwamba huyo chizi anayejiaibisha sio baba wa anko wake kabisa, nikamuelekeza kwamba shemeji yake hana ujinga huo. Hata kama simpendi namchukia ila ukweli hawezi kuonyesha ujinga wake hadharani hivyo.

Hata kama ni malaya pia hawezi kujisifia hadharani kubadilisha wanawake kila siku. Yeye yupo busy kwenye majukwaa ya Jamii intelligence na nyuzi za sports. Hata kwa Rick boy kwenye kula kimasihara anaonyeshaga ushamba wake hadharani wa kuwashangaa wenzie wanavyokula mitaro nje nje.

Jamani wanajukwaa mitandao ya kijamii inadefine sana jinsi ulivyo. Kile unachokiandika humu kinadefine uhalisia wako kwa hiyo tujitahidi sana kuandika vitu vyenye tija na vya maana. Unaweza kuwa mtu unayeheshimika kweli ila mitandao ikakufanya ujishushie heshima yako.

Kuna watu wengine huwa najiuliza hivi bahati mbaya hata mdogo wake au mwanae akashika simu yake akijua upuuzi anaoandika humu ataendelea kumuheshimu kweli? Tuangalie maudhui tunayoyaandika jamani.
Umeandika pumba kabisa, pambafu! Bora ungekaa kimya!
 
Yani huyo mdogo wako angesoma huu uzi wako angegundua kumbe shemeji yake ana IQ kubwa sana kulinganisha na dada yake....

Hivi kwanini hatupendi kukaa kimya mambo mengine yapite...
 
IQ zinatofautiana mkuu, shemeji hawezi kuwa na IQ sawa na dada na ndio ukweli but heading itabaki kuwa ukweli
 
Na ndio ulivyo hata katika maisha yako halisi mtu wa kukurupuka na kutukana bila sababu. Una hoja pia usikilizwe
Una assume kwamba unayajua maisha yangu halisi! Sasa, hapo nani kakurupupa?Maisha yangu yapi unayoyajua wewe? Eti nimetukana! Pambafu ni tusi kwenye kamusi? Mbona unaropoka ovyo wewe!
 
Kumbe unampenda Chizi Maarifa hutaki tu kumfungukia.

Humu tuna ID fake ili mtu uishi uhalisia wako. Huko insta, fb, X tunajificha sana kwasababu ya kufahamika.

MWache aandike anachojiskia, hiyo ndo faraja yake. Akiongea huko kwenu mnamuona hana akili na kuanza kumuita majina ya ajabu na ndio mwanzo wa msongo wa mawazo, watu kujidai mpo smart kwa head kumbe moyoni mnaumia.
 
h
Kuna sehemu mkuu nimesema kwamba sina UKIMWI?? Acha kunizushia bwana utanifanya nikose ARV za bure. Sema rafiki yangu alichelewa kuanza kutumia dawa ndio maana akafa kwa UKIMWI. Kwetu sitoki kama unataka njoo unipige na kushindikana kwangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Umetoa povu kama umetoka kupumuliwa vile. Yaani utafungua kila aina ya fake IDs ila uhalisia wako utabaki palepale ni SHOGA uliyeshindikana. Si umekula BAN juzi tuu ushakuja na ID mpya. TAFUTA KAZI YA KUFANYA uache kuliwa mtaro bure.
halafu lisingo mamá linajifanya kuja naliuzi lake eti "unacho andika ndio uhalisia wako"🤣Kwahio hapa ushaajizihirisha uhalisia wako tayari.

singo mamá wenzako wanajishuhulisha wewe umeganda kwenu tuu kulea mume umeshindwa dah utapata tabú sana bibi
 
Kumbe unampenda Chizi Maarifa hutaki tu kumfungukia.

Humu tuna ID fake ili mtu uishi uhalisia wako. Huko insta, fb, X tunajificha sana kwasababu ya kufahamika.

MWache aandike anachojiskia, hiyo ndo faraja yake. Akiongea huko kwenu mnamuona hana akili na kuanza kumuita majina ya ajabu na ndio mwanzo wa msongo wa mawazo, watu kujidai mpo smart kwa head kumbe moyoni mnaumia.
Mkuu umesoma huku unasinzia nini,,???
 
Ulichosema ni kweli, lakini wabongo wengi tunamisinterpret kati ya matani na kujidharaulisha. Matani hayana personality, mtu yeyote bila kujali hadhi yake, anaweza kufanya utani wakati na mahali panapostahili. Ndio maana hata waheshimiwa wabunge wakati fulani wanataniana. Matani yana umuhimu wake ikiwa ni pamoja na kujiburudisha, kurelease tension, nk. Hata rais mstaafu Donald Trump, anataniana na rais Joe Baiden. Tatizo letu sisi wabongo tukitaka kumchafua au kumharibia mtu utu au heshima yake katika jamii, tunabatilisha mambo; yaani jambo linaloonekana kawaida wakifanya watu wengine, lakini akifanya mtu usiyempenda, jambo hilohilo linageuka kuwa kituko!
 
Back
Top Bottom