Kila mtu alishaendelea na maisha yake, mimi nina familia tayari namuombea na yeye one day apate familia pia ( mke na mtoto).Anajielewa sio wengine vichaa ndo kwanza anaandaa silaha kwa mpambano, kwann msikae chini mkamaliza tofauti zenu mlee mtoto!
Kwenye maisha kuna kukoseana hakuna mkamilifu
Ahaa! Sawa!Jamani sikukufosi ila niliuliza tuu, kuna uzi wako mmoja ulisema uulizwe chochote utajibu ndio nilipoona wanasema umezaa mtoto na Smart911 na wala hukukataa wala kukubali thats why juzi nikauliza.
Tukirudi upande wangu mimi baba mtoto wangu yupo humu JF ni kweli kabisa we met hukooo tukaja jua wote ni memba wa humu. Mfano ingetokea yeye ndio alitangaza ni baba wa mtoto wala nisingemkana sababu ni kweli. Ila huyo chizi sio ndio maana nakataa. Siku akijitangaza mhusika sitakataa hata kama ataanzisha uzi wa kunitukana.
Utamuelewa kwa kiasi kidogo sana.Kuna watu ni mafundi wa kuvaa uhusika/tabia za aina mchanganyiko.Jana alikuwa teeneger.Leo mzee-mshauri mwema.Halafu kesho usishangae akawa mkorofi na hasomeki.Kuna asilimia fulani ya maisha yako huwezi kuyafake hata kama ni behind keyboard kiasi kwamba mtu anaweza kukutafsiri ni wa aina gani
Kweli kabisa mkuu, lakini kwenye huo uhusika tofauti tofauti lazima kuna katabia common atashindwa kukapretend na ndio hiyo tabia yake ya uhalisia.Utamuelewa kwa kiasi kidogo sana.Kuna watu ni mafundi wa kuvaa uhusika/tabia za aina mchanganyiko.Jana alikuwa teeneger.Leo mzee-mshauri mwema.Halafu kesho usishangae akawa mkorofi na hasomeki.
Bado narudia palepale.Utakuwa na aidha kipaji cha hali ya juu au unajua kuotea kusiko mfano wa haraka.Kweli kabisa mkuu, lakini kwenye huo uhusika tofauti tofauti lazima kuna katabia common atashindwa kukapretend na ndio hiyo tabia yake ya uhalisia.
Kama wewe hapo babeUtamuelewa kwa kiasi kidogo sana.Kuna watu ni mafundi wa kuvaa uhusika/tabia za aina mchanganyiko.Jana alikuwa teeneger.Leo mzee-mshauri mwema.Halafu kesho usishangae akawa mkorofi na hasomeki.
Absolutely honey!Nakubaliana na mashtaka haya bila shuruti yoyote ya kwamba huwa kuna nyakati nakuwa msumbufu na sisomeki.Ila kwenye uzi huu nasomeka kiaina.🙏😂Kama wewe hapo babe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila mimi nakusoma maana nakujua mpaka ukuchaAbsolutely honey!Nakubaliana na mashtaka haya bila shuruti yoyote ya kwamba huwa kuna nyakati nakuwa msumbufu na sisomeki.Ila kwenye uzi huu nasomeka kiaina.[emoji120][emoji23]
Kila mtu alishaendelea na maisha yake, mimi nina familia tayari namuombea na yeye one day apate familia pia ( mke na mtoto).
Sijagomea yaliyo dhahiri nuruni na gizani.Nakupatia bravos mbili na nusu.Bravo!Bravo!Bra...!🙏[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila mimi nakusoma maana nakujua mpaka ukucha
Haya babe uwahi kulala sasaSijagomea yaliyo dhahiri nuruni na gizani.Nakupatia bravos mbili na nusu.Bravo!Bravo!Bra...![emoji120]
Kwer we kiboko sasa uyo Dogo mnamlea mazingira gani baba uku mama uku mtoto anaitaji malezi yenu kwa pamojaHapana mkuu halafu hatukuachana kwa ubaya huwezi amini mpaka siku nimemuaga naondoka tunaongea vizuri na kutakiana heri ya maisha. Hata baada ya kubreak up still tulikuwa friends. Sema sijuagi kwanini pamoja na bond ya mtoto tuliyonayo tukionana we feel nothing zaidi ya urafiki tuu.
Jamii Forums zamani na sasa hivi imekuwa tofauti sana, zamani ilikuwa serious hata ukiomba ushauri unapata unachokihitaji, mind you tupo under fake ID so watu tulikuwa comfotable kueleza yanayokusibu ambayo huwezi kumwambia mtu yoyote in real life.Kumbe mimi najuaga nyuzi zako ni utani ila kwa nini maisha yako unaamishia kwenye mtandao unadhani huku utapata faraja au amani[emoji2372]
Jambo zuri kwaiyo sasa yeye kaoa wewe umeolewa sindivyo😂Analelewa vizuri kabisa and i hope she will grow to a fine lady.
Kuna muda maisha inabidi yaendelee no matter what, haiwezekani kuyazoa maji yakishamwagika. Na sijawahi kufanya maamuzi mkuu ni miaka 5 imepita sasa kwa sisi wanawake unajua jinsi deadline ya uzazi inavyokaribia as years goes on....tofauti na wanaume hata miaka 70 anaweza pata mtoto.Ooh! Lakini uliwahi kufanya maamuzi me napenda watu walee mtoto pamoja. Hapo mnamvuruga mtoto anakuwa katikati huku kuna familia aliyoanzisha mama hakuna baba, na huku kuna baba hakuna mama [emoji26]
Sipendi basi tu
Sasa huoni kama shida itaweza kuja baadae maana kwa sasa huezi ona tatizomaana kwa sasa Kuna muda maisha inabidi yaendelee no matter what, haiwezekani kuyazoa maji yakishamwagika. Na sijawahi kufanya maamuzi mkuu ni miaka 5 imepita sasa kwa sisi wanawake unajua jinsi deadline ya uzazi inavyokaribia as years goes on....tofauti na wanaume hata miaka 70 anaweza pata mtoto.