Jamani sikukufosi ila niliuliza tuu, kuna uzi wako mmoja ulisema uulizwe chochote utajibu ndio nilipoona wanasema umezaa mtoto na
Smart911 na wala hukukataa wala kukubali thats why juzi nikauliza.
Tukirudi upande wangu mimi baba mtoto wangu yupo humu JF ni kweli kabisa we met hukooo tukaja jua wote ni memba wa humu. Mfano ingetokea yeye ndio alitangaza ni baba wa mtoto wala nisingemkana sababu ni kweli. Ila huyo chizi sio ndio maana nakataa. Siku akijitangaza mhusika sitakataa hata kama ataanzisha uzi wa kunitukana.