Kile unachoandika mtandaoni kinasadifu jinsi ulivyo

Kile unachoandika mtandaoni kinasadifu jinsi ulivyo

Anajielewa sio wengine vichaa ndo kwanza anaandaa silaha kwa mpambano, kwann msikae chini mkamaliza tofauti zenu mlee mtoto!
Kwenye maisha kuna kukoseana hakuna mkamilifu
Kila mtu alishaendelea na maisha yake, mimi nina familia tayari namuombea na yeye one day apate familia pia ( mke na mtoto).
 
Jamani sikukufosi ila niliuliza tuu, kuna uzi wako mmoja ulisema uulizwe chochote utajibu ndio nilipoona wanasema umezaa mtoto na Smart911 na wala hukukataa wala kukubali thats why juzi nikauliza.

Tukirudi upande wangu mimi baba mtoto wangu yupo humu JF ni kweli kabisa we met hukooo tukaja jua wote ni memba wa humu. Mfano ingetokea yeye ndio alitangaza ni baba wa mtoto wala nisingemkana sababu ni kweli. Ila huyo chizi sio ndio maana nakataa. Siku akijitangaza mhusika sitakataa hata kama ataanzisha uzi wa kunitukana.
Ahaa! Sawa!
 
Kuna asilimia fulani ya maisha yako huwezi kuyafake hata kama ni behind keyboard kiasi kwamba mtu anaweza kukutafsiri ni wa aina gani
Utamuelewa kwa kiasi kidogo sana.Kuna watu ni mafundi wa kuvaa uhusika/tabia za aina mchanganyiko.Jana alikuwa teeneger.Leo mzee-mshauri mwema.Halafu kesho usishangae akawa mkorofi na hasomeki.
 
Utamuelewa kwa kiasi kidogo sana.Kuna watu ni mafundi wa kuvaa uhusika/tabia za aina mchanganyiko.Jana alikuwa teeneger.Leo mzee-mshauri mwema.Halafu kesho usishangae akawa mkorofi na hasomeki.
Kweli kabisa mkuu, lakini kwenye huo uhusika tofauti tofauti lazima kuna katabia common atashindwa kukapretend na ndio hiyo tabia yake ya uhalisia.
 
Kila mtu alishaendelea na maisha yake, mimi nina familia tayari namuombea na yeye one day apate familia pia ( mke na mtoto).

Ooh! Lakini uliwahi kufanya maamuzi me napenda watu walee mtoto pamoja. Hapo mnamvuruga mtoto anakuwa katikati huku kuna familia aliyoanzisha mama hakuna baba, na huku kuna baba hakuna mama [emoji26]

Sipendi basi tu
 
Hapana mkuu halafu hatukuachana kwa ubaya huwezi amini mpaka siku nimemuaga naondoka tunaongea vizuri na kutakiana heri ya maisha. Hata baada ya kubreak up still tulikuwa friends. Sema sijuagi kwanini pamoja na bond ya mtoto tuliyonayo tukionana we feel nothing zaidi ya urafiki tuu.
Kwer we kiboko sasa uyo Dogo mnamlea mazingira gani baba uku mama uku mtoto anaitaji malezi yenu kwa pamoja
 
Kumbe mimi najuaga nyuzi zako ni utani ila kwa nini maisha yako unaamishia kwenye mtandao unadhani huku utapata faraja au amani[emoji2372]
Jamii Forums zamani na sasa hivi imekuwa tofauti sana, zamani ilikuwa serious hata ukiomba ushauri unapata unachokihitaji, mind you tupo under fake ID so watu tulikuwa comfotable kueleza yanayokusibu ambayo huwezi kumwambia mtu yoyote in real life.
Siku hizi kimekuwa kichaka cha matusi, udhalilishaji, ujuaji, kero nk.

And yes nilikuwa comfotable sana kusema yanayonisibu humu sababu hakuna anayenijua.
 
Ooh! Lakini uliwahi kufanya maamuzi me napenda watu walee mtoto pamoja. Hapo mnamvuruga mtoto anakuwa katikati huku kuna familia aliyoanzisha mama hakuna baba, na huku kuna baba hakuna mama [emoji26]

Sipendi basi tu
Kuna muda maisha inabidi yaendelee no matter what, haiwezekani kuyazoa maji yakishamwagika. Na sijawahi kufanya maamuzi mkuu ni miaka 5 imepita sasa kwa sisi wanawake unajua jinsi deadline ya uzazi inavyokaribia as years goes on....tofauti na wanaume hata miaka 70 anaweza pata mtoto.
 
maana kwa sasa Kuna muda maisha inabidi yaendelee no matter what, haiwezekani kuyazoa maji yakishamwagika. Na sijawahi kufanya maamuzi mkuu ni miaka 5 imepita sasa kwa sisi wanawake unajua jinsi deadline ya uzazi inavyokaribia as years goes on....tofauti na wanaume hata miaka 70 anaweza pata mtoto.
Sasa huoni kama shida itaweza kuja baadae maana kwa sasa huezi ona tatizo
 
Back
Top Bottom