Kile unachoandika mtandaoni kinasadifu jinsi ulivyo

Kile unachoandika mtandaoni kinasadifu jinsi ulivyo

Nikamuuliza umeijuaje ID yake mbona zaidi yangu hakuna anayeijua au ulipekua simu yangu kusoma PM zangu eeh? Akajibu hapana, sehemu nyingi sana anatagiwa hata kuna uzi wake pia alijisema yeye ndio baba wa anko wangu. Kweli Shemeji anajiaibisha sana hata kama tunatumia fake IDs (Mimi na dogo tunazijua ID's zetu).

Wewe na baba mtoto wako (kama kweli) yamalizeni nje ya mtandao...

Unachokilalamikia hapa ndio hicho hicho ambacho umekuwa unakifanya na hata kwenye uzi huu unafanya vivyo hivyo...
 
Mtu yupo anonymous ili awe huru kuandika anachotaka kuandika, humu kuna watu na nafasi zao kubwa na wanaandika ushenzi, let them be.
Hata hivyo ulishaachana nae, kumfatilia manake ni kuwa kuna jambo bado unalitaka.
Mtu namjua ID yake automatically nikiingia uzi aliochangia nitamwona. Yeye pia analike sana comment zangu means huwa ananifwatilia?? No hatufwatiliani ila kwa kuwa tunajua ni ID ya fulani lazima utainotice.
 
Situmiii jf kupitia app so rahis mtu akajua kama natumia, nikishamaliza kubrowse naclear history naswitch email chap.
Ni kwanini unafanya hivyo?? Obviously jibu itakuwa incase watu wasijue ID yako nashangaa wanaobisha ila ni ukweli tunajificha kwa fake IDs ila ikitokea ikawa exposed wengi heshima zitashuka kwenye jamii.
 
Mbona we kwenye profile yako umeweka picha umegeukia nyuma? Hujui hiyo nayo inasadifu ulivyo

Mdogo wako alitakiwa aanze na wewe dada yake kukujulisha kuwa anakudharau kwa mambo unayofanya
Huwa ananiambia kila siku hiyo avatar toa dada inakudefine ndivyo sivyo hata kama sio wewe kwenye picha. Alishanipa ukweli mchungu toka siku alioijua ID yangu
 
Ni kwanini unafanya hivyo?? Obviously jibu itakuwa incase watu wasijue ID yako nashangaa wanaobisha ila ni ukweli tunajificha kwa fake IDs ila ikitokea ikawa exposed wengi heshima zitashuka kwenye jamii.
Apana sijawahi fungua thread yeyote humu zaidi ya comments za hapa na pale na venye hazina content mbaya sema sipendi kujulikana na hata kwa mitandao nayotumia situmii ID halisi kwa sababu hamna cha maana nachotegemea kukipata mtandaoni zaidi ya habar sawa na kijiweni
 
Mtu namjua ID yake automatically nikiingia uzi aliochangia nitamwona. Yeye pia analike sana comment zangu means huwa ananifwatilia?? No hatufwatiliani ila kwa kuwa tunajua ni ID ya fulani lazima utainotice.
Mbona tunazijua IDs kibao na hatufatilii maandishi yao? Kwamba kama unanifaham in person utakuwa kila ninachoandika unafatilia na nikiandika upupu unaanza kunidharau?

Hatuishi hivyo, acha jamaa aishi anonymously, ndio maana hajaweka majina yake halisi.
 
Back
Top Bottom