Kile unachoandika mtandaoni kinasadifu jinsi ulivyo

Kile unachoandika mtandaoni kinasadifu jinsi ulivyo

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli kabisa ila tuwe na kiasi na tunayoyaandika mkuu. Imagine kila siku nilete mada za kubadilisha wanaume humu si lazima mtaconclude ndio nilivyo hata nje ya JF??
Hizo mada sio mpaka uzilete mara nyingi, ukiileta mara moja tu, inatosha kukuweka kwenye list 😅
 
Hizo mada sio mpaka uzilete mara nyingi, ukiileta mara moja tu, inatosha kukuweka kwenye list [emoji28]
Umeona sasa?? Tena hawahawa wanaonitukana humu ndio vinara wa kutukana tena mtu akileta mada yake na wanamjudge kwenye maisha halisi. Huwa hawadhani kwamba anaweza kuwa anatoa stress au anachangamsha jukwaa
 
Attachments

  • Screenshot_20230813-114059.png
    Screenshot_20230813-114059.png
    30.7 KB · Views: 6
Yani kwenye maisha ya kawaida tuigize...na mtandaoni tuigize? ili kumfurahisha nani?

Badala ya kushauri turekebishe kuandika mtandaoni Bora ungesema turekebishe kuishi maisha ya kawaida a. Yani kama Wewe ni fisi ishi kifisi sio unaishi kwa kujificha ficha ili jamii ikuone Wewe ni kondoo
 
Sawa mkuu una hoja usikilizwe pia.
 
Back
Top Bottom