Kile unachoandika mtandaoni kinasadifu jinsi ulivyo

Kile unachoandika mtandaoni kinasadifu jinsi ulivyo

Huu ni uongo 😃

Mf Romeo National Anthem kuna muda anajizima data anaandika upupu mtupu. Lakini tunaomjua in person tunaona kabisa wa jF sio yule tunayemjua sisi huku nje.
😃😃 Julieth Depal , Mie huyu nitumie mda wangu kweli kuandika vitu vya maana hapa JF.. labda niwe nimerogwa .. nitaendelea kuandika matapu matapu tu..
 
Ok. Nimekuelewa. Hayo mambo ya ndani sana si vema kuyaweka humu. Ninyi wenyewe mlishajionea kipindi kile.. yalileta shida sana kwa kweli.
Acha kupenda kiki kwa kitu ambacho sio cha kweli mkuu, hii tabia yako inaanza kumcost hata baba mtoto wangu wanaojua ID yangu wakiona hivi wanamdharau sana wakijua ndio yeye anayeandika pumba hizo. Kua basi atlist kidogo hata kama tupo behind fake IDs unaweza jiropokea chochote ni haki yako ila sio kwa kiwango hiki. Hivi unaonaga fahari sana ukionekana ulizaa na mimi eeh??
 
Duuuh kwani Chizi Maarifa sio babaake watoto wako??

Mbona watu huku ndani ndo tunavyojua 🤔🤔🤔.
 
Back
Top Bottom