National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
😅😅 Wameisha jitambulisha kuwa ni Input Out (IO) wa polisi mkuu.... Sasa hivi anakula mihogo na kachumbaruNaona usalama mnabonga co
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅 Wameisha jitambulisha kuwa ni Input Out (IO) wa polisi mkuu.... Sasa hivi anakula mihogo na kachumbaruNaona usalama mnabonga co
Haujawahi ila Chizi Maarifa ndo alikuwa anasema yeye ndo babaake mtoto wako tena alisema wapo 2 sijui.Una uhakika gani na hili unalosema?? Kuna sehemu yoyote nishawahi kumtaja ID ya baba mtoto wangu hata siku moja???
Sio kabisa mkuu na hata simjui wala hanijui, baba mtoto wangu mchaga lenyewe litindiga huko, kusema kweli inakera sana huu upuuzi.Duuuh kwani Chizi Maarifa sio babaake watoto wako??
Mbona watu huku ndani ndo tunavyojua [emoji848][emoji848][emoji848].
Ok nimeelewa. Ila sijui kwann alikuwa anakuongelea hivyo 🤷🏿♂️Sio kabisa mkuu na hata simjui wala hanijui, baba mtoto wangu mchaga lenyewe litindiga huko, kusema kweli inakera sana huu upuuzi.
Ukisoma vizuri hii mada pia nimekanusha kwamba huyu sio baba mtoto wangu.
Nimeshindana na nani tena mkuu?? Huyu Chizi maarifa au nani?? Kusema kweli sishindani nae ila tabia yake ya kujifanya baba mtoto wangu inakwaza sana kiasi kwamba watu wanaoijua ID yangu halafu wanamjua baba mtoto wangu wanamshangaa sana wakati kiuhalisia huyu mtu hata hatujuani.wacha kushindana na mwanaume unajiabisha binti yangu
Ni kweli huwa anasema ila kiuhalisia hata hanijui huwa anaona akiongelea swala hilo anapata comment nyingi basi anafurahi.Haujawahi ila Chizi Maarifa ndo alikuwa anasema yeye ndo babaake mtoto wako tena alisema wapo 2 sijui.
Alisema eti ukiwa na shida ya elfu 10 unaanzisha thread ya kumlalamikia kuwa hakutumiii matumizi.
Au mi ndo sielewi
haujuani nae kwa namna yoyote kuwa muwazi tuhNimeshindana na nani tena mkuu?? Huyu Chizi maarifa au nani?? Kusema kweli sishindani nae ila tabia yake ya kujifanya baba mtoto wangu inakwaza sana kiasi kwamba watu wanaoijua ID yangu halafu wanamjua baba mtoto wangu wanamshangaa sana wakati kiuhalisia huyu mtu hata hatujuani.
Ok nimeelewa sasa.Ni kweli huwa anasema ila kiuhalisia hata hanijui huwa anaona akiongelea swala hilo anapata comment nyingi basi anafurahi.
Mkuu kama ingekuwa sio yeye kutaka privacy basi ningemtaja hapa baba wa mtoto wangu na hata siku akiruhusu basi nitamtaja. Huyo kaka simjui hata sura kwanza sina uhakika kama ni mwanaume au mwanamke nashangaa kwanini huwa anakazania kwamba ananijua. Niliamua kupotezea ila sasa inaleta picha mbaya kwa wanaotujua in real life na JF.haujuani nae kwa namna yoyote kuwa muwazi tuh
Mwenye nimepotea njianiBora ungekaa kimya,
Hata wewe unamatatizo Kwa huo uandishi wako.
ok sasa nikwambie jambo binti yangu kama kuna watu wanakujua nje ya jf nafikiri wanamjua na baba wa mtoto waeleweshe wakitaka maelezo wasipokuelewa achana nao au wambie wakamulize huyo baba mwenyewe.na huku mtandaoni mpuuze mbona ni jambo rahisi tuh wewe unavyo jipambanua ndio unalikuza jambo zaidiMkuu kama ingekuwa sio yeye kutaka privacy basi ningemtaja hapa baba wa mtoto wangu na hata siku akiruhusu basi nitamtaja. Huyo kaka simjui hata sura kwanza sina uhakika kama ni mwanaume au mwanamke nashangaa kwanini huwa anakazania kwamba ananijua. Niliamua kupotezea ila sasa inaleta picha mbaya kwa wanaotujua in real life na JF.
Na bado mdgo ake hajamvunjia heshima dgo kamuona shemeji yakeHee
Dress imeangaza mpaka kyupi!!
Hapo sina usemi
Nimezimia 🤐🤐🏃♀️
Ngoja nikung'ate sikio hii ya Chizi Maarifa ni id yake ya kutolea ya moyoni km ulikiwa hujui #Ni yeyeeMtu namjua ID yake automatically nikiingia uzi aliochangia nitamwona. Yeye pia analike sana comment zangu means huwa ananifwatilia?? No hatufwatiliani ila kwa kuwa tunajua ni ID ya fulani lazima utainotice.
kwahio kabla hujawa singo mamá ulikua unavaa nusu uchi kama avatar inavyo muonesha lafikiyako akiwa amevaa nguo inavyo onesha Chupi ndaniIn real life before kabla sijawa mama nilikuwa napenda sana kuvaa nguo fupi ( ingawa profile sio mimi) but baada ya kukua nikaacha na picha hiyo ina historia sana ni ya rafiki yangu ambae hayupo tena duniani na nina pic yake hiyo tuu hapa ndio sehemu ambayo haitapotea kabisa unless nikiitoa.
Asante sana kwa ushauri mkuu..nimepokea ushauriok sasa nikwambie jambo binti yangu kama kuna watu wanakujua nje ya jf nafikiri wanamjua na baba wa mtoto waeleweshe wakitaka maelezo wasipokuelewa achana nao au wambie wakamulize huyo baba mwenyewe.na huku mtandaoni mpuuze mbona ni jambo rahisi tuh wewe unavyo jipambanua ndio unalikuza jambo zaidi
Watu huku ndani si tumejaa umbea usio na supporting docs.
Wala mkuu sio ID yake, yeye ya moyoni ananipigiaga simu kunipa direct na sio humu. Kuna personality ya mtu hata akiwa na id fake bado itajulikana tuu kama unamjua. Kuna uandishi fulani utafanana basi hao wawili ni mbingu na ardhi.Ngoja nikung'ate sikio hii ya Chizi Maarifa ni id yake ya kutolea ya moyoni km ulikiwa hujui #Ni yeyee
Kuna sehemu mkuu nimesema kwamba sina UKIMWI?? Acha kunizushia bwana utanifanya nikose ARV za bure. Sema rafiki yangu alichelewa kuanza kutumia dawa ndio maana akafa kwa UKIMWI. Kwetu sitoki kama unataka njoo unipige na kushindikana kwangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwahio kabla hujawa singo mamá ulikua unavaa nusu uchi kama avatar inavyo muonesha lafikiyako akiwa amevaa nguo inavyo onesha Chupi ndani
ulivyo mjinga unaendelea kumzalilisha humu.unasema amesha kufa nahisi niukimwi ndio ulio muua bilashaka kwauvaaji wenu wewe na lafiki Yako marehemu nawewe ukimwi sijui ulikukosaje?
kwanini uliachana nabwana wako?nadhani niumalaya ulio jifunza utotoni jamaa akaona akuteme tuu
onasasa umegeuka kuwa zigo nyumbani kwenu kazi umbea tuu Tena unamfundisha mdogo wako wakiume umbea.
toka hapo kwenu unatia aibu kwa umalaya tuu.
singo mamá alie shindikana wewe.
huwezi kuolewa tenaaaa