Kile unachoandika mtandaoni kinasadifu jinsi ulivyo

Kile unachoandika mtandaoni kinasadifu jinsi ulivyo

Kuna sehemu mkuu nimesema kwamba sina UKIMWI?? Acha kunizushia bwana utanifanya nikose ARV za bure. Sema rafiki yangu alichelewa kuanza kutumia dawa ndio maana akafa kwa UKIMWI. Kwetu sitoki kama unataka njoo unipige na kushindikana kwangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Umetoa povu kama umetoka kupumuliwa vile. Yaani utafungua kila aina ya fake IDs ila uhalisia wako utabaki palepale ni SHOGA uliyeshindikana. Si umekula BAN juzi tuu ushakuja na ID mpya. TAFUTA KAZI YA KUFANYA uache kuliwa mtaro bure.
Pole sana rafiki! Una ufahamu mzambarau? Tafuta Maganda ya mti wake, twanga na uchemshe. Kunywa lita moja asubuhi, mchana na Jioni kwa muda wa mwezi mmoja. Halafu utakuja niambia kuhusu CD4 na mengine. Jioni Njema
 
Asante sana mkuu, ila sina huo UKIMWI nilimjibu huyo aliyekurupuka kuja kunitukana kama kawekwa kaa la moto chini. Nashukuru kwa elimu i hope itawasaidia na wengine watakaosoma hapa wenye uhitaji.
 
Acha kupenda kiki kwa kitu ambacho sio cha kweli mkuu, hii tabia yako inaanza kumcost hata baba mtoto wangu wanaojua ID yangu wakiona hivi wanamdharau sana wakijua ndio yeye anayeandika pumba hizo. Kua basi atlist kidogo hata kama tupo behind fake IDs unaweza jiropokea chochote ni haki yako ila sio kwa kiwango hiki. Hivi unaonaga fahari sana ukionekana ulizaa na mimi eeh??
Wewe kweli ndo maana mtoto alichukuliwa. Umeona kuna sehemu nimekutaja? Wewe mtu anazaa nawe kwa bahati mbaya tu. Ujinga wako unaleta huku.... We mwanamke hovyo sana. Hamna mwanaume anaweza jisifia kuzaa na wewe kwa akili zako. Ukue wewe. Mtoto alikuwa salama zaidi kwa bibi yake kuliko kwako. Watu wanajuta kutotumia condoms sometime si sababu ya kuogopa HIV ila tu kuzaa na kichwa kama hiki. 😁
 
Wewe kweli ndo maana mtoto alichukuliwa. Umeona kuna sehemu nimekutaja? Wewe mtu anazaa nawe kwa bahati mbaya tu. Ujinga wako unaleta huku.... We mwanamke hovyo sana. Hamna mwanaume anaweza jisifia kuzaa na wewe kwa akili zako. Ukue wewe. Mtoto alikuwa salama zaidi kwa bibi yake kuliko kwako. Watu wanajuta kutotumia condoms sometime si sababu ya kuogopa HIV ila tu kuzaa na kichwa kama hiki. [emoji16]
Acha kupenda kiki za kijinga nimemaliza.
 
Kuna sehemu mkuu nimesema kwamba sina UKIMWI?? Acha kunizushia bwana utanifanya nikose ARV za bure. Sema rafiki yangu alichelewa kuanza kutumia dawa ndio maana akafa kwa UKIMWI. Kwetu sitoki kama unataka njoo unipige na kushindikana kwangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Umetoa povu kama umetoka kupumuliwa vile. Yaani utafungua kila aina ya fake IDs ila uhalisia wako utabaki palepale ni SHOGA uliyeshindikana. Si umekula BAN juzi tuu ushakuja na ID mpya. TAFUTA KAZI YA KUFANYA uache kuliwa mtaro bure.
Heee huu uzi nao Kwema😀😀
 
Back
Top Bottom