trudie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 3,668
- 8,745
- Thread starter
- #221
Kweli hakuna anayekufwatilia maisha ila what if siku mwanao au mkeo akaijua ID yako unexpectedly utakuwa comfotable around her kwa unayoyaandika??Mimi nacoment chochote, regardless [emoji38][emoji38] heshima itashuka kwa nani? Hakuna mtu wa kunifuatilia maishaa.