Kile unachoandika mtandaoni kinasadifu jinsi ulivyo

Kile unachoandika mtandaoni kinasadifu jinsi ulivyo

Ulichosema ni kweli, lakini wabongo wengi tunamisinterpret kati ya matani na kujidharaulisha. Matani hayana personality, mtu yeyote bila kujali hadhi yake, anaweza kufanya utani wakati na mahali panapostahili. Ndio maana hata waheshimiwa wabunge wakati fulani wanataniana. Matani yana umuhimu wake ikiwa ni pamoja na kujiburudisha, kurelease tension, nk. Hata rais mstaafu Donald Trump, anataniana na rais Joe Baiden. Tatizo letu sisi wabongo tukitaka kumchafua au kumharibia mtu utu au heshima yake katika jamii, tunabatilisha mambo; yaani jambo linaloonekana kawaida wakifanya watu wengine, lakini akifanya mtu usiyempenda, jambo hilohilo linageuka kuwa kituko!
Sahihi kabisa mkuu, umeongea kitu ambacho wengi inabidi wakielewe. Na mimi nimepata somo hapa tofauti kati ya matani na kujidharaulisha.
 
Hujakosea kabisaa mtoa post
Me ni mdada wa uswazi napenda hekaheka na umbea wa kijiwe wa nongwa, nimefungua duka la vijora mje kuniungisha my wenu
 
Hujakosea kabisaa mtoa post
Me ni mdada wa uswazi napenda hekaheka na umbea wa kijiwe wa nongwa, nimefungua duka la vijora mje kuniungisha my wenu
Na ndio jinsi ulivyo humu....haya waja wapenda vijora tutakuja kukuungisha
 
Ila bado kauhalisia kako unakaleta na humu si ndio pamoja na dola kupanda na maisha kuwa magumu??

Huo ndo uhalisia wangu sina lolote zaidi ya umbea hapa natamani niwe mods niwe nawachungulia watu piem wanavyo dangana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
 
Huo ndo uhalisia wangu sina lolote zaidi ya umbea hapa natamani niwe mods niwe nawachungulia watu piem wanavyo dangana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Hahahahaa basi Melo akitangaza kazi inabidi uapply usipitwe na mambo ya PM. Nilicheka sana juzi kuna uzi ulisema nikiwa namchamba mtu nikutag usome dah. Sema kweli mods wanafaidi kweli yaani.
 
Hahahahaa basi Melo akitangaza kazi inabidi uapply usipitwe na mambo ya PM. Nilicheka sana juzi kuna uzi ulisema nikiwa namchamba mtu nikutag usome dah. Sema kweli mods wanafaidi kweli yaani.

Sasa mbona hunitag?? Mods wanafaidi sana ujinga wetu piem [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mello anifikirie tu anifanyie favor mdogo ake nateseka na umbea wa watu
 
Back
Top Bottom