Kile unachoandika mtandaoni kinasadifu jinsi ulivyo

Kile unachoandika mtandaoni kinasadifu jinsi ulivyo

Sio kabisa mkuu na hata simjui wala hanijui, baba mtoto wangu mchaga lenyewe litindiga huko, kusema kweli inakera sana huu upuuzi.

Ukisoma vizuri hii mada pia nimekanusha kwamba huyu sio baba mtoto wangu.
Trudie Mimi unachonishangaza ni vile vitu vyako unakataa sio kweli ila vya Antonia ndio unafosi viwe kweli hapo tu unaponiacha hoi!!

Juzi nilishangaa sana zile habari ulizonipa za Jr!!
Mbaya zaidi mimi humu hakuna sehemu huyo uliemsema alitoa Uzi kuhusu kuwa na mtoto namimi wala mi nayeye hatujawahi zozana kama mlivo wewe na Chizi Maarifa !

Nashukuru sasa umejua kuwa si kila wanachokuongelea wana jf kukuhusu ni cha kweli!!

Anyways acha tuishi humohumoo tu!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mliachana kwa ubaya mngekua mmeachana kwa Amani ata viporo mngepasha
Hapana mkuu halafu hatukuachana kwa ubaya huwezi amini mpaka siku nimemuaga naondoka tunaongea vizuri na kutakiana heri ya maisha. Hata baada ya kubreak up still tulikuwa friends. Sema sijuagi kwanini pamoja na bond ya mtoto tuliyonayo tukionana we feel nothing zaidi ya urafiki tuu.
 
Trudie Mimi unachonishangaza ni vile vitu vyako unakataa sio kweli ila vya Antonia ndio unafosi viwe kweli hapo tu unaponiacha hoi!!

Juzi nilishangaa sana zile habari ulizonipa za Jr!!
Mbaya zaidi mimi humu hakuna sehemu huyo uliemsema alitoa Uzi kuhusu kuwa na mtoto namimi wala mi nayeye hatujawahi zozana kama mlivo weww na Chizi Maarifa !

Nashukuru sasa umejua kuwa si kila wanachokuongelea wana jf kukuhusu ni cha kweli!!
Kwani ishu yake ni kweli maana naona kama ni changamsha genge.
 
Kwa pumba/ ujinga ninaoandikaga humu Naombeni mniambie Tabia zangu halisi kwanza nipo nimekaa paleeee[emoji117][emoji144][emoji144] [emoji848]
Unajua kuna pumba mtu unaandika but still personality yako inabaki kuwa positive halafu kuna zile pumba zinazokufanya udharaulike
 
Trudie Mimi unachonishangaza ni vile vitu vyako unakataa sio kweli ila vya Antonia ndio unafosi viwe kweli hapo tu unaponiacha hoi!!

Juzi nilishangaa sana zile habari ulizonipa za Jr!!
Mbaya zaidi mimi humu hakuna sehemu huyo uliemsema alitoa Uzi kuhusu kuwa na mtoto namimi wala mi nayeye hatujawahi zozana kama mlivo wewe na Chizi Maarifa !

Nashukuru sasa umejua kuwa si kila wanachokuongelea wana jf kukuhusu ni cha kweli!!

Anyways acha tuishi humohumoo tu!!
Jamani sikukufosi ila niliuliza tuu, kuna uzi wako mmoja ulisema uulizwe chochote utajibu ndio nilipoona wanasema umezaa mtoto na Smart911 na wala hukukataa wala kukubali thats why juzi nikauliza.

Tukirudi upande wangu mimi baba mtoto wangu yupo humu JF ni kweli kabisa we met hukooo tukaja jua wote ni memba wa humu. Mfano ingetokea yeye ndio alitangaza ni baba wa mtoto wala nisingemkana sababu ni kweli. Ila huyo chizi sio ndio maana nakataa. Siku akijitangaza mhusika sitakataa hata kama ataanzisha uzi wa kunitukana.
 
Back
Top Bottom