donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Kwa kweli wakuu jioni yangu ya leo nime enjoy kwa kushiriki katika ibada maeneo ya Goba kwa Dr.Mosha ambapo ma paroko mbalimbali walikuepo na kufunga mzunguko wa msalaba katika jumuiya mbali mbali hapa Dar. Been long since I had spiritual fun.