Kilele Cha Maazimisho Ya Mwezi wa imani (Msalaba) - Goba.

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Kwa kweli wakuu jioni yangu ya leo nime enjoy kwa kushiriki katika ibada maeneo ya Goba kwa Dr.Mosha ambapo ma paroko mbalimbali walikuepo na kufunga mzunguko wa msalaba katika jumuiya mbali mbali hapa Dar. Been long since I had spiritual fun.
 
malizia furaha yako na konyagi
 
Kwa kweli wakuu jioni yangu ya leo nime enjoy kwa kushiriki katika ibada maeneo ya Goba kwa Dr.Mosha ambapo ma paroko mbalimbali walikuepo na kufunga mzunguko wa msalaba katika jumuiya mbali mbali hapa Dar. Been long since I had spiritual fun.

Acha kupotosha watu wewe. Mzunguko wa msalaba wa imani bado unaendelea. Leo Parokia ya Dominika imekabidhi msalaba kws Parokia ya Moyo safi wa Bikira Maria na mzunguko bado unaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…