mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Niwatendee haki timu ya wananchi wa Jamhuri ya utopolo kwa kuwapongeza kwa ushindi wao dhidi ya Simba!! Hongereni sana!! Lakini ni vizuri mkajua kuwa ushindi huo hautokani na ubora wa Yanga bali unatokana na timu ya Simba kutokuwa vizuri kwa sasa, hasa kutokana na pengo Chama na kondeboy ambalo bado halijazibika kwa sasa.
Timu inaweza kuwa bora na ikafungwa, lakini imecheza vizuri, lakini kwa sasa simba inafungwa kwa kukosa ubora si kwa bahati mbaya au ubora wa timu pinzani!
Tatizo la yanga ni kuwa akiifunga simba anaridhika na hawezi kupiga hatua ya ziada na anajidanganya kuwa yeye ni bora wakati siyo!
Kocha anafanyia kazi mapungufu ya Simba na muda si mrefu pilau litarejea na utopolo sahau ubingwa kwa miaka 10 ijayo!!