Kilele cha mafanikio ya timu ya yanga ni kuifunga Simba: Baada ya hapo hakuna hatua yoyote!! Hapo ndipo mwisho wa reli!!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Niwatendee haki timu ya wananchi wa Jamhuri ya utopolo kwa kuwapongeza kwa ushindi wao dhidi ya Simba!! Hongereni sana!! Lakini ni vizuri mkajua kuwa ushindi huo hautokani na ubora wa Yanga bali unatokana na timu ya Simba kutokuwa vizuri kwa sasa, hasa kutokana na pengo Chama na kondeboy ambalo bado halijazibika kwa sasa.

Timu inaweza kuwa bora na ikafungwa, lakini imecheza vizuri, lakini kwa sasa simba inafungwa kwa kukosa ubora si kwa bahati mbaya au ubora wa timu pinzani!

Tatizo la yanga ni kuwa akiifunga simba anaridhika na hawezi kupiga hatua ya ziada na anajidanganya kuwa yeye ni bora wakati siyo!

Kocha anafanyia kazi mapungufu ya Simba na muda si mrefu pilau litarejea na utopolo sahau ubingwa kwa miaka 10 ijayo!!
 
Wapende wasipende utopolo ni wa hapa hapa!! Kimataifa wataendelea kuwa watazamaji tu wakiwashuhudia wanaume wa mpira wakisonga mbele hatua baada ya hatua.

Jiandaeni kutushangilia ili tuongeze pointi na tuendelee kuwabeba na mwakani japo hata mkibebwa hambebeki!! Mwaka huu mmebebwa hamkubebeka!!
 
Wapende wasipende utopolo ni wa hapa hapa!! Kimataifa wataendelea kuwa watazamaji tu wakiwashuhudia wanaume wa mpira wakisonga mbele hatua baada ya hatua. Jiandaeni kutushangilia ili tuongeze pointi na tuendelee kuwabeba na mwakani japo hata mkibebwa hambebeki!! Mwaka huu mmebebwa hamkubebeka!!
Kwa Simba hii ya vikongwe wala hawana mwendo
 
Hakuna kuugulia hapo ila ni ukweli wa soka!
soka lipi unalozungumzia wewe? maana tunafahamu mpira wetu hasa timu zetu hizi mbili huwa kuna kupanda na kushuka tangu enzi hizo so kilichotokea kwe miaka hii mi nne wala si ajabu
 
Niwatendee haki timu ya wananchi wa Jamhuri ya utopolo kwa kuwapongeza kwa ushindi wao dhidi ya Simba!! Hongereni sana!! Lakini ni vizuri mkajua kuwa ushindi huo hautokani na ubora wa Yanga bali unatokana na timu ya Simba kutokuwa vizuri kwa sasa, hasa kutokana na pengo Chama na kondeboy ambalo bado halijazibika kwa sasa. Timu inaweza kuwa bora na ikafungwa, lakini imecheza vizuri, lakini kwa sasa simba inafungwa kwa kukosa ubora si kwa bahati mbaya au ubora wa timu pinzani!
Tatizo la yanga ni kuwa akiifunga simba anaridhika na hawezi kupiga hatua ya ziada na anajidanganya kuwa yeye ni bora wakati siyo!
Kocha anafanyia kazi mapungufu ya Simba na muda si mrefu pilau litarejea na utopolo sahau ubingwa kwa miaka 10 ijayo!!
😎😎😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝
 
Shida yako unadhani Simba na Yanga zimeanza 2015 na utawala wa Magufuli!
Yanga inaongoza kwa vikombe dhidi ya Simba!
Na pia inaongoza kwa kuipiga Simba kwenye head on clashes!
 
Tatizo ni kwamba unaishi kwenye jumba la makumbusho!! Inabidi mtu atembelee jumba la makumbusho ndiyo ajue kuwa kumbe kuna wakati yanga ilikuwepo kuwepo atakapoona habari za kina Sunday Manara, Ezekiel jujumen nk!
 
Niwatendee haki timu ya wananchi wa Jamhuri ya utopolo kwa kuwapongeza kwa ushindi wao dhidi ya Simba!! Hongereni sana!! Lakini ni vizuri mkajua kuwa ushindi huo hautokani na ubora wa Yanga bali unatokana na timu ya Simba kutokuwa vizuri kwa sasa, hasa kutokana na pengo Chama na kondeboy ambalo bado halijazibika kwa sasa. Timu inaweza kuwa bora na ikafungwa, lakini imecheza vizuri, lakini kwa sasa simba inafungwa kwa kukosa ubora si kwa bahati mbaya au ubora wa timu pinzani!
Tatizo la yanga ni kuwa akiifunga simba anaridhika na hawezi kupiga hatua ya ziada na anajidanganya kuwa yeye ni bora wakati siyo!
Kocha anafanyia kazi mapungufu ya Simba na muda si mrefu pilau litarejea na utopolo sahau ubingwa kwa miaka 10 ijayo!!
Umeandika huku ukiwa na maumivu makali sana kiasi kwamba ukasahau misimu miwili nyuma simba ambayo unaamini iliyokuwa bora ikaambulia alama moja tu kwenye ligi kuu, huku Yanga wakipata alama nne dhidi ya Simba.
 
Niwatendee haki timu ya wananchi wa Jamhuri ya utopolo kwa kuwapongeza kwa ushindi wao dhidi ya Simba!! Hongereni sana!! Lakini ni vizuri mkajua kuwa ushindi huo hautokani na ubora wa Yanga bali unatokana na timu ya Simba kutokuwa vizuri kwa sasa, hasa kutokana na pengo Chama na kondeboy ambalo bado halijazibika kwa sasa. Timu inaweza kuwa bora na ikafungwa, lakini imecheza vizuri, lakini kwa sasa simba inafungwa kwa kukosa ubora si kwa bahati mbaya au ubora wa timu pinzani!
Tatizo la yanga ni kuwa akiifunga simba anaridhika na hawezi kupiga hatua ya ziada na anajidanganya kuwa yeye ni bora wakati siyo!
Kocha anafanyia kazi mapungufu ya Simba na muda si mrefu pilau litarejea na utopolo sahau ubingwa kwa miaka 10 ijayo!!
Mbona msimu uliopita tuliwafunga mechi moja na ile ya marudio mlitoa sare, tena ya kusawazisha dk ya 89 huku mkiwa na wachezaji wenu wote!!

Umeamua tu kujitoa ufahamu kama njia ya kujipoza na kikosi chenu kibovu, au!!!
 
Wapende wasipende utopolo ni wa hapa hapa!! Kimataifa wataendelea kuwa watazamaji tu wakiwashuhudia wanaume wa mpira wakisonga mbele hatua baada ya hatua. Jiandaeni kutushangilia ili tuongeze pointi na tuendelee kuwabeba na mwakani japo hata mkibebwa hambebeki!! Mwaka huu mmebebwa hamkubebeka!!
Huna lolote wewe mbumbumbu! Umeanzisha uzi wa kujipoza tu baada ya timu yako kuanza msimu mpya kwa kuchechemea.
 
Labda um

Labda umesahau kuwa hata msimu uliopita Simba hakuongoza ligi mwanzoni, lakini mwisho wa msimu kila mtu anajua ndoo ilienda wapi!! Aliyeongoza ligi kwa muda mrefu ni uto!!! Mwisho wa msimu aliangukia pua!! Habari ndo hiyo!!
 
Hivi una habari Mwamedi keshabwaga manyanga Simba?
 
Niwatendee haki timu ya wananchi wa Jamhuri ya utopolo kwa kuwapongeza kwa ushindi wao dhidi ya Simba!! Hongereni sana!! Lakini ni vizuri mkajua kuwa ushindi huo hautokani na ubora wa Yanga bali unatokana na timu ya Simba kutokuwa vizuri kwa sasa, hasa kutokana na pengo Chama na kondeboy ambalo bado halijazibika kwa sasa.

Timu inaweza kuwa bora na ikafungwa, lakini imecheza vizuri, lakini kwa sasa simba inafungwa kwa kukosa ubora si kwa bahati mbaya au ubora wa timu pinzani!

Tatizo la yanga ni kuwa akiifunga simba anaridhika na hawezi kupiga hatua ya ziada na anajidanganya kuwa yeye ni bora wakati siyo!

Kocha anafanyia kazi mapungufu ya Simba na muda si mrefu pilau litarejea na utopolo sahau ubingwa kwa miaka 10 ijayo!!
In case you don't know,Yanga ndo mabingwa mara nyingi wa ligi kuu kwahiyo tuliza kpapa maana Yanga anakufunga mara nyingi anavyotaka na anachukua kombe mara nyingi anavyotaka [emoji3525]
 
SIMBA vs YANGA
Kibwana - left back (natural position right back)
Bangala - defensive midfielder (natural position center back)

BIASHARA vs SIMBA
Mwenda - left back (natural position right back)
Inonga - denfensive midfielder (natural position center back)

watu mna siri sana, kumbe Gomes kashaanza tuition kwa Prof. Nabi na hamtuambiii. Sijapenda [emoji28]
 
Mateso yanakupata ukiwa kipande gani cha chi yetu pendwa?
 
Back
Top Bottom