Kilele cha mafanikio ya timu ya yanga ni kuifunga Simba: Baada ya hapo hakuna hatua yoyote!! Hapo ndipo mwisho wa reli!!

Kilele cha mafanikio ya timu ya yanga ni kuifunga Simba: Baada ya hapo hakuna hatua yoyote!! Hapo ndipo mwisho wa reli!!

Mbona msimu uliopita tuliwafunga mechi moja na ile ya marudio mlitoa sare, tena ya kusawazisha dk ya 89 huku mkiwa na wachezaji wenu wote!!

Umeamua tu kujitoa ufahamu kama njia ya kujipoza na kikosi chenu kibovu, au!!!
Baada ya kuifunga simba mlifika wapi na simba ilifika wapi? Tafakari
 
Back
Top Bottom