mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
- Thread starter
- #21
Baada ya kuifunga simba mlifika wapi na simba ilifika wapi? TafakariMbona msimu uliopita tuliwafunga mechi moja na ile ya marudio mlitoa sare, tena ya kusawazisha dk ya 89 huku mkiwa na wachezaji wenu wote!!
Umeamua tu kujitoa ufahamu kama njia ya kujipoza na kikosi chenu kibovu, au!!!