M mbingunikwetu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 13,897 Reaction score 18,477 Sep 30, 2021 Thread starter #21 Tate Mkuu said: Mbona msimu uliopita tuliwafunga mechi moja na ile ya marudio mlitoa sare, tena ya kusawazisha dk ya 89 huku mkiwa na wachezaji wenu wote!! Umeamua tu kujitoa ufahamu kama njia ya kujipoza na kikosi chenu kibovu, au!!! Click to expand... Baada ya kuifunga simba mlifika wapi na simba ilifika wapi? Tafakari
Tate Mkuu said: Mbona msimu uliopita tuliwafunga mechi moja na ile ya marudio mlitoa sare, tena ya kusawazisha dk ya 89 huku mkiwa na wachezaji wenu wote!! Umeamua tu kujitoa ufahamu kama njia ya kujipoza na kikosi chenu kibovu, au!!! Click to expand... Baada ya kuifunga simba mlifika wapi na simba ilifika wapi? Tafakari