Naona jamaa hapo juu amesahau kwenda kwake karibu atadondosha mfuko na mwanariadha mwingine hapo chini ameshika kiuno badala ya kuendelea na jogging!Watu wana kojorea pazuri piga picha hapo awe uchi wa munyama.
Watu wa ajabu sana wao wanangalia pesa tuSijapata Logic ya kuvaa barakoa ambayo imeziba pua na mdomo huku ukiwa una trot/Jogging/ Kukimbia... vitendo ambavyo vinahusisha utoaji na uingizaji wa hewa nyingi kupitia mdomo,pua na mapafu
Anyways nisiwe msemaji sana.....
Tuendelee kujifukiza, barakoa, sanitizer, social distance, kuepuka misongamano na kutumia tiba asili
Au nasema uongo ndugu zangu? Mzaha sio mzaha...
Only in Tanzania yaaniWatu wa ajabu sana wao wanangalia pesa tu
Hawana tofauti na wasanii wa bongo fleva
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Maelekezo ya kuvaa barakoa huku unakimbiaTuendelee kufata maelekezo.
Si wahairishe tu?
Utakimbiaje na Mask?
Wataanza kuanguka kama kuku sasa.Maana hewa zitawaishia naturally tu.
Nchi hii watu sjui akili zao wameziweka wapiOnly in Tanzania yaani
Ni jambo la kushangaza sana, watu wanapenda sana Pesa kuliko uhai wa watu.... Misongamano watu hawavai barakoa, hawachukui tahadhariNchi hii watu sjui akili zao wameziweka wapi
Utakimbiaje hku umevaa barakoa ni sawa umwambie diver azame kina kirefu bila ya kutumia oxygen
Kingine tuko kwenye hatari lkn utaona sjui nandy anafanya show mara tigo fiesta
Mijitu migumu kuelewaa
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Mtoa mada hajafafanua vizuri.matangazo yao ni kuvaa barakoa kabla ya mbio .wakati wa kukimbia wanashauri watu wasivaeWanataka wauwe watu, sasa ukivaa barakoa halafu unakimbia si utakosa hewa kabisa
๐๐๐๐๐๐ ni hatareWatu wana kojorea pazuri piga picha hapo awe uchi wa munyama.
Watu wenyewe wanavuta kila kukichaNi jambo la kushangaza sana, watu wanapenda sana Pesa kuliko uhai wa watu.... Misongamano watu hawavai barakoa, hawachukui tahadhari
Ifike wakati mamlaka husika ivalie njuga suala hili kabla ya maafa zaidi
Hii mikusanyiko isiyokuwa na ulazima wowote (inayokutanisha watu wengi) ifutwe
Ndugu yangu acha tu aisee, ni noma sana
Hii kitu ipo kuna members humu wanakuambia mbona tangu zamani watu wanavutaNdugu yangu acha tu aisee, ni noma sana
Mungu atusaidie
Meya wa hilo eneo hataki barakoaKampuni ya Kilimanjaro Marathon inayoendesha Mbio maarufu za kila mwaka za โKili Marathonโ zinazofanyika Mkoani Kilimanjaro imetangaza kuwa kutakuwa na zoezi la ugawaji wa barakoa kabla na baada ya mbio kwa wakimbiaji wote wa mbio fupi na ndefu.
Vilevile wameeleza kuwa kutakuwa na kamati maalumu itakayokuwa inagawa vitakasa mikono kwa washiriki kwenye vituo maalumu, njiani mpaka mwisho wa mbio, na uwanjani kwa siku nzima ya mashindano. Watoa huduma wote katika vituo vya maji pamoja na uwanjani watavaa barakoa, gloves, aprons na watahakikisha wanatakasa mikono mara kwa mara muda wote wa mashindano
Wamesema hatua hiyo ni kutokana na wingi wa watu watakaoshiriki katika tukio hilo litakalofanyika Februari 28, 2021 Mjini Moshi. Mbio hizi zinafanyika huku kukiwa na madai ya COVID19 kuenea mkoani Kilimanjaro.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro amekanusha madai hayo na kusema mkoa uko salama na magari ya maiti yanayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ni kutoka mikoa mingine.
Pia soma
Kili Marathoni huhusisha ukimbiaji wa mbio fupi/nusu (half marathon) kwa umbali wa Kilomita 21.1 na ndefu/kamili kwa urefu wa Kilomita 42.2.
Wengi wetu ni kama mang'ombe hatuendi mpaka fimbo(ngoja liwakute jambo ndowataelewa)Nchi hii watu sjui akili zao wameziweka wapi
Utakimbiaje hku umevaa barakoa ni sawa umwambie diver azame kina kirefu bila ya kutumia oxygen
Kingine tuko kwenye hatari lkn utaona sjui nandy anafanya show mara tigo fiesta
Mijitu migumu kuelewaa
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app