GE2025 Kiliba: Alipoondoka Rais wetu mpendwa John Pombe Magufuli nchi ilijawa hofu Rais Samia ameondoa hofu

GE2025 Kiliba: Alipoondoka Rais wetu mpendwa John Pombe Magufuli nchi ilijawa hofu Rais Samia ameondoa hofu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Unamkataa Samia unataka umlete yupi? ni mwanamke wa kwanza kuongoza nchi yetu, alipoondoka Rais wetu mpendwa John Pombe Magufuli nchi ilijawa hofu...sasa hofu imeisha hana hatia..mnaanza umbeya na uongo, Mungu wa Mbinguni awarehemu" amesema Kiliba

 
Huyu kijana ni mjinga sana na bila shaka anatoka kwenye familia duni sana!

Umasikini ni laana
 
Ukimuuliza kwa mida huu aeleze alichokisema kilikuwa na mantiki ipi, atajishangaa na kukushangaa wewe muuliza swali
 
Back
Top Bottom