Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Hahaha kwamba aje tupambanie kitaaAcha aje awe mwana NETO ataelewa tu
Ndio atajua kuwa alitumika vibaya.Hahaha kwamba aje tupambanie kitaa
Arudi kwao Zanzibar atawasaidia sana.Vijana haswa hawa viongozi wa chuo wanajisahau sana baadaye wakirudi mtaana wanaanza kulalamika tena kwa hivi sasa wana platform wanaishia kuimba mapambio.
===
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za elimu ya Juu Nchini Ndugu Geofrey Kiliba akizungumza na viongozi WA Serikali y Wanafunzi Mkoani Kilimanjaro Tarehe 22 Aprili 2025.
Miongoni mwa mambo aliyyataja yaliyofanyw ana Rais Samia ni kuongeza fedha ya kujikimu (boom) kwa wanafunzi wa vyuo vikuu pamoja na mkopo kwa wanafunzi wa vyuo vya kati.
View attachment 3312880
Na kibaya wao ni wawakilishi wa wanafunzi wenzao, wanafanya wenzao wote waonekane kuwa ni waimba mampambioNdio atajua kuwa alitumika vibaya.
Uchawi+uchawa+uchaleVijana haswa hawa viongozi wa chuo wanajisahau sana baadaye wakirudi mtaana wanaanza kulalamika tena kwa hivi sasa wana platform wanaishia kuimba mapambio.
===
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za elimu ya Juu Nchini Ndugu Geofrey Kiliba akizungumza na viongozi WA Serikali y Wanafunzi Mkoani Kilimanjaro Tarehe 22 Aprili 2025.
Miongoni mwa mambo aliyyataja yaliyofanyw ana Rais Samia ni kuongeza fedha ya kujikimu (boom) kwa wanafunzi wa vyuo vikuu pamoja na mkopo kwa wanafunzi wa vyuo vya kati.
View attachment 3312880
Uchale ndio upoje huo mkuu?Uchawi+uchawa+uchale
Vijana haswa hawa viongozi wa chuo wanajisahau sana baadaye wakirudi mtaana wanaanza kulalamika tena kwa hivi sasa wana platform wanaishia kuimba mapambio.
===
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za elimu ya Juu Nchini Ndugu Geofrey Kiliba akizungumza na viongozi WA Serikali y Wanafunzi Mkoani Kilimanjaro Tarehe 22 Aprili 2025.
Miongoni mwa mambo aliyyataja yaliyofanyw ana Rais Samia ni kuongeza fedha ya kujikimu (boom) kwa wanafunzi wa vyuo vikuu pamoja na mkopo kwa wanafunzi wa vyuo vya kati.
View attachment 3312880
Hv mnamuhitaji kwa jambo jipi la maana alikofanya,?Vijana haswa hawa viongozi wa chuo wanajisahau sana baadaye wakirudi mtaana wanaanza kulalamika tena kwa hivi sasa wana platform wanaishia kuimba mapambio.
===
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za elimu ya Juu Nchini Ndugu Geofrey Kiliba akizungumza na viongozi WA Serikali y Wanafunzi Mkoani Kilimanjaro Tarehe 22 Aprili 2025.
Miongoni mwa mambo aliyyataja yaliyofanyw ana Rais Samia ni kuongeza fedha ya kujikimu (boom) kwa wanafunzi wa vyuo vikuu pamoja na mkopo kwa wanafunzi wa vyuo vya kati.
View attachment 3312880
Wanapenda mkuu now days utavikuta vina sema wao ni watoto wa mama vichawa vichaga. Sahv vina aminishwa kuwa ni rahisi ila wakimaliza chuo watajua ni ngumuNa kibaya wao ni wawakilishi wa wanafunzi wenzao, wanafanya wenzao wote waonekane kuwa ni waimba mampambio
Mkuu ao wanapewa haadi ya Ajira, ukiona kwenye Kundi lolote linasifia CCM Viongozi wanakua wanalipwa posho lakini awa wengine wafuasi wao wanakua na Maisha magumu tu. Ni sawa na Siasa za Zanzibar kule CCM inamfumo wake wa ajira kwa vijana wa Zanzibar, Kila kijana anaetaka kuajiliwa na Serikali lazima ajiunge CCM kwenye tawi la eneo lake analoishi na awe ana uzuria kwenye Mambo ya Chama, Ndiyo maana unapawaona Vijana wa CCM kwenye Mikutano yao au Kwenye Mkutano wa Raisi wale Vijana upeo wao unakua mdogo walicho aminishwa ni watapatiwa ajira za Majeshi yetu mfano Polisi. Ndiyo Maana Vijana wengi kwenye Mambo ya CCM ni wale wanaotoka familia zenye Uchumi duni na Elimu duni, uwezi kukuta Vijana wa Viongozi wa Serikali wapo wanapigwa na jua wala kukuta wakisema Mama hana deni.Acha aje awe mwana NETO ataelewa tu faken
He should stfuVijana haswa hawa viongozi wa chuo wanajisahau sana baadaye wakirudi mtaana wanaanza kulalamika tena kwa hivi sasa wana platform wanaishia kuimba mapambio.
===
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za elimu ya Juu Nchini Ndugu Geofrey Kiliba akizungumza na viongozi WA Serikali y Wanafunzi Mkoani Kilimanjaro Tarehe 22 Aprili 2025.
Miongoni mwa mambo aliyyataja yaliyofanyw ana Rais Samia ni kuongeza fedha ya kujikimu (boom) kwa wanafunzi wa vyuo vikuu pamoja na mkopo kwa wanafunzi wa vyuo vya kati.
View attachment 3312880
Kweli mkuu hili lipo waziMkuu ao wanapewa haadi ya Ajira, ukiona kwenye Kundi lolote linasifia CCM Viongozi wanakua wanalipwa posho lakini awa wengine wafuasi wao wanakua na Maisha magumu tu. Ni sawa na Siasa za Zanzibar kule CCM inamfumo wake wa ajira kwa vijana wa Zanzibar, Kila kijana anaetaka kuajiliwa na Serikali lazima ajiunge CCM kwenye tawi la eneo lake analoishi na awe ana uzuria kwenye Mambo ya Chama, Ndiyo maana unapawaona Vijana wa CCM kwenye Mikutano yao au Kwenye Mkutano wa Raisi wale Vijana upeo wao unakua mdogo walicho aminishwa ni watapatiwa ajira za Majeshi yetu mfano Polisi. Ndiyo Maana Vijana wengi kwenye Mambo ya CCM ni wale wanaotoka familia zenye Uchumi duni na Elimu duni, uwezi kukuta Vijana wa Viongozi wa Serikali wapo wanapigwa na jua wala kukuta wakisema Mama hana deni.