Kilicchotokea beef la leo kati ya pogba na mourinho,kumbe alimfukuza

Kilicchotokea beef la leo kati ya pogba na mourinho,kumbe alimfukuza

pogba aje barca tu..maniyu anapoteza muda tu..he doesnt fit there
 
Kwani wewe una ugomvi na nani mpaka waje kukuchukua,au mnapenda kuwatukana wenye nchi? Shauri lenu mimi hizo nafungua tu sababu najua hakuna sababu ya wao kunikamata by the way saizi sio lazima wafanye hivyo wakikuhitaji wewe ni kuwauliza tu wamiliki wa huu mtandao tusaidie taarifa za huyu mtu wanapewa,unadhani hawa waliruhusiwa kurudi hewani bure bure tu? Kikubwa kuwa makini ishi kwa akili na wenye madaraka!
Hata Soudy brown alijiandalia maisha ya kutag page na kuandaa vipindi vya kumsifu kubwa la maadui, ila mwisho wa siku kakaa nyuma ya nondo wiki moja, sasa wewe endelea kujiona uki salama.
 
Back
Top Bottom