Sijasema niko salama Bro ninachosisitiza tuwe makini hata humu hatuko salama by the way mi ni mkosoaji mkubwa wa Jiwe ila niko makini sana kwa sasaHata Soudy brown alijiandalia maisha ya kutag page na kuandaa vipindi vya kumsifu kubwa la maadui, ila mwisho wa siku kakaa nyuma ya nondo wiki moja, sasa wewe endelea kujiona uki salama.