Tuwape Wenger sasa!!..Wa kutupwa ni mou
HatutakiiiTuwape Wenger sasa!!..
sisi tunamtaka awe anamuasist pale mess tupeniPogba ndani ya Utd ni sawa na sehemu yenye kansa katika mwili.
Anapaswa kuondolewa ili timu ibaki salama
Mchukueni. Tuachieni £200millsisi tunamtaka awe anamuasist pale mess tupeni
Mchukueni. Tuachieni £200millsisi tunamtaka awe anamuasist pale mess tupeni
Sisi tutamchukua SavicMchukueni. Tuachieni £200mill
usichoelewa nini sasa wengine kule kwenye siasa wanaropoka ropoka hivyo amewaasa waropokaji.We wa ajabu kweli. Yaani mtu akutrace tu from nowhere.
week mbili mbele nitakuuliza tena!😀Hatutakiii
week mbili mbele nitakuuliza tena!😀
Anakujaje bila kuuzwaKama pogba anataka Kuwa staa.. AJE BARCELONA!!
Hata Soudy brown alijiandalia maisha ya kutag page na kuandaa vipindi vya kumsifu kubwa la maadui, ila mwisho wa siku kakaa nyuma ya nondo wiki moja, sasa wewe endelea kujiona uki salama.Kwani wewe una ugomvi na nani mpaka waje kukuchukua,au mnapenda kuwatukana wenye nchi? Shauri lenu mimi hizo nafungua tu sababu najua hakuna sababu ya wao kunikamata by the way saizi sio lazima wafanye hivyo wakikuhitaji wewe ni kuwauliza tu wamiliki wa huu mtandao tusaidie taarifa za huyu mtu wanapewa,unadhani hawa waliruhusiwa kurudi hewani bure bure tu? Kikubwa kuwa makini ishi kwa akili na wenye madaraka!
Yaani nimekuwazia nimekosa tusi la kukupa... Daah so akiuzwa anaenda wapi anabaki hapo hapo???... DaahAnakujaje bila kuuzwa
ishu ya yeye kuuzwa inamuhusu wakala wake mino raiola.. yeye kazi yake kwenda kwenye timu husika na na kutandaza soka sasa wapi nmesema anaondoka halafu asiuzwe??Anakujaje bila kuuzwa
Unawaza kutukana tuu.Yaani nimekuwazia nimekosa tusi la kukupa... Daah so akiuzwa anaenda wapi anabaki hapo hapo???... Daah
Mieleka ipo kaangalie mpira waachie wenyeweUnawaza kutukana tuu.
Swala la ni kwamba pelekeni ofa ya maana, ndio mtauziwa pogba.ishu ya yeye kuuzwa inamuhusu wakala wake mino raiola.. yeye kazi yake kwenda kwenye timu husika na na kutandaza soka sasa wapi nmesema anaondoka halafu asiuzwe??