KILICHO WAGHALIMU BARCA NA AJAX NI LIGI WANAZOTOKA

KILICHO WAGHALIMU BARCA NA AJAX NI LIGI WANAZOTOKA

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,019
Reaction score
1,824
Kuna Watu wamekuwa wakipinga Sana Kuwa ukiwaambia EPL ni ligi Bora duniani ,,,narudua Kwa herufi kubwa LIGI BORA DUNIANI.... point kuu wanazo Toa wanao pingaga huu ukweli ni Namna tim za Spain zinavyopeta UEFA au zile back to back za Madrid kuchukua UEFA..

Kwa na Namna Fulani wanakua na point japo haina mashiko! tunapo zungumzia ubora wa ligi.....
Ubora wa ligi na ubora wa vilabu shiriki kwenye ligi ni vitu viwili tofauti

KWA MAFANO
Kuna Darasa A na Darasa B,, Darasa A wakwanza na wapili wanapata 90 lakini kuanzia watatu ni 20 kushuka chini mpaka ziro lakini B wao hawapati 90 wapo kwenye 75 lakini Darasa zima Hakuna alie chini ya 70 ...wamefungana na kupishana point...

Kwa wastani B Ndio Darasa Bora..!!
Kwasababu wanafaulu Darasa zima na wanakua na wastani mkubwa Sana japo Hakuna anaepata 90
Hivyo A Lina wanafunzi Bora lakini B ni Darasa bora...

Turudi kwenye Soka Spain Kuna Barcelona na Madrid mbili atletico na Real,Hawa Ndio vipanga wa ligi na Hata atletico nao Kwa siku za hivi karibuni wanakua vibonde

Wooootee waliobaki kuanzia sevila mpaka girona Hakuna anaweza akachalenge UEFA

Kule AJAX ligi ya uholanzi Ndio 0 Kabisa

kinachitokea
Kikosi kinakosa ukomavu timu inapata overconfidence wanajiona mafundi wa dunia Kumbe bado....

Ajax kwenye ligi yao Tayar kashatangazwa Bingwa Barcelona pia ...hyo inashusha Hari ya upambaji Kwasababu tayri timu haina presha ya kutoka kapa ukilinganisha na Liverpool na Tottenham,,,, EPL bado game moja lakini Tottenham Hotspur Kuna uwezekano mwakani asiende UEFA Kwa kukosa top four Pia Liverpool matumaini ya EPL yanaota mbawa kutokana na city kuwa seriously kwahyo automatic Tottenham na Liverpool wana uhitaji kuliko AJAX na Barcelona....

Hata wolvermpton anaweza akachalenge timu yoyote ulaya.. Ila Sio Athletic Bilbao ligi ya uingereza inafanya timu zao ziwe ngumu Sana kutonaka na Kuwa kwao kila mechi fainali.

UEFA CHAMPIONS LEAGUE FINAL
UINGEREZA VS UINGEREZA

EUROPA LEAGUE FINAL
UINGEREZA VS UINGEREZA

LIVERPOOL BACK TO BACK FINALS

COME BACK TATU TENA LWA TIMU BORA
MANCHESTER UNITED KWA PSG
LIVERPOOL KWA BARÇA
TOTTENHAM KWA AJAX

Kama hayo hayatoshi kuifanya EPL kuwa ligi bora basi Hamna ligi bora duniani..
 
EPL si ligi bora na ndio maana na were umeshangaa..
Uwezo wenu Mdogo na ndiyo maana wachezaji wenu walioshinda kibahati hizi game mbili ya Jana na juzi wamelia machozi...kwa maana ni ndoto kwao...wakati mwingine mungu anaionea huruma ligi ya EPL..angalau kidogo Nayo ipate heshima
 
EPL si ligi bora na ndio maana na were umeshangaa..
Uwezo wenu Mdogo na ndiyo maana wachezaji wenu walioshinda kibahati hizi game mbili ya Jana na juzi wamelia machozi...kwa maana ni ndoto kwao...wakati mwingine mungu anaionea huruma ligi ya EPL..angalau kidogo NATO ipate heshima
Ata Ajax na Barcelona wangequalify wangelia machozi and Kama hujui Liverpool kaingia hii fainali ya pili mfululizo AJAX wanamiaka zaidi ya 50 wanaiskia tuu.. Kwao kipi kipya zaidi ya machozi ya furaha.... Anyway unatumia kugezo gani kumention ligi bora na isio bora
 
Screenshot_20190509-061424.png

Kumbe tokea mwaka 1995 Hadi 2019 ilishapita miaka 50, inabidi nirudi darasani kusoma hesabu.
 
EPL NI BORA

- ushindani ni wa hali ya juu tofauti na LA LIGA timu tatu
- kupendwa dunia nzima hakuna kituo kinachorusha bure isipokuwa jmos game moja ambayo hadi EATV WANARUSH
si kama HISPANIA ni bure ambapo AZAM wanaibia wateja pesa
- kuna title race kuna big four race kuna big six rce kuna wanoushuka wakikaza hapo hisipania ishazoeleeka
Barca real atletico (sevila/valencia)

- Mapaka sasa ulaya katika ligi hizo kubwa ndio ligi ambyo bigwa ajapatikana ilihali game imebaki moja moja

Kigezo chako kimoja cha uefa inaonesha huna point za kuitetea la liga

Tunarudia

LA LIGA NI LIGI YA TIMU TATU BORA SIO LIGI BORA
TIMU TATU AZIWEZI FANYA LIGI YOTE KUWA BORA
 
Angalia idadi ya upachikaji bao hapo HISPANIA UTAONA 1-3 WANA IDADI KUBWA ZA MABAO KUZIDI EPL amabo wana idadi ndogo na tofauti ya 1goal sasa SIJUI UJAONA UGUMU NA UBORA WA LIGI YA EPL
 
Kuna Watu wamekuwa wakipinga Sana Kuwa ukiwaambia EPL ni ligi Bora duniani ,,,narudua Kwa herufi kubwa LIGI BORA DUNIANI.... point kuu wanazo Toa wanao pingaga huu ukweli ni Namna tim za Spain zinavyopeta UEFA au zile back to back za Madrid kuchukua UEFA..

Kwa na Namna Fulani wanakua na point japo haina mashiko! tunapo zungumzia ubora wa ligi.....
Ubora wa ligi na ubora wa vilabu shiriki kwenye ligi ni vitu viwili tofauti

KWA MAFANO
Kuna Darasa A na Darasa B,, Darasa A wakwanza na wapili wanapata 90 lakini kuanzia watatu ni 20 kushuka chini mpaka ziro lakini B wao hawapati 90 wapo kwenye 75 lakini Darasa zima Hakuna alie chini ya 70 ...wamefungana na kupishana point...

Kwa wastani B Ndio Darasa Bora..!!
Kwasababu wanafaulu Darasa zima na wanakua na wastani mkubwa Sana japo Hakuna anaepata 90
Hivyo A Lina wanafunzi Bora lakini B ni Darasa bora...

Turudi kwenye Soka Spain Kuna Barcelona na Madrid mbili atletico na Real,Hawa Ndio vipanga wa ligi na Hata atletico nao Kwa siku za hivi karibuni wanakua vibonde

Wooootee waliobaki kuanzia sevila mpaka girona Hakuna anaweza akachalenge UEFA

Kule AJAX ligi ya uholanzi Ndio 0 Kabisa

kinachitokea
Kikosi kinakosa ukomavu timu inapata overconfidence wanajiona mafundi wa dunia Kumbe bado....

Ajax kwenye ligi yao Tayar kashatangazwa Bingwa Barcelona pia ...hyo inashusha Hari ya upambaji Kwasababu tayri timu haina presha ya kutoka kapa ukilinganisha na Liverpool na Tottenham,,,, EPL bado game moja lakini Tottenham Hotspur Kuna uwezekano mwakani asiende UEFA Kwa kukosa top four Pia Liverpool matumaini ya EPL yanaota mbawa kutokana na city kuwa seriously kwahyo automatic Tottenham na Liverpool wana uhitaji kuliko AJAX na Barcelona....

Hata wolvermpton anaweza akachalenge timu yoyote ulaya.. Ila Sio Athletic Bilbao ligi ya uingereza inafanya timu zao ziwe ngumu Sana kutonaka na Kuwa kwao kila mechi fainali.

UEFA CHAMPIONS LEAGUE FINAL
UINGEREZA VS UINGEREZA

EUROPA LEAGUE FINAL
UINGEREZA VS UINGEREZA

LIVERPOOL BACK TO BACK FINALS

COME BACK TATU TENA LWA TIMU BORA
MANCHESTER UNITED KWA PSG
LIVERPOOL KWA BARÇA
TOTTENHAM KWA AJAX

Kama hayo hayatoshi kuifanya EPL kuwa ligi bora basi Hamna ligi bora duniani..

Ajax katangazwa ubingwa upi?
 
Hapa shida mahaba na ligi zenu yamezidi.Point ya mdingi ni kuwa ligi kuu ya England imeboreshwa(imeimprove)katika miaka 7 ilopita tangu chelsea abebe ubora ligi imeongeza nguvu na mvuto,labda ni kutokana na kuongezwa kwa man city na improvement kwenye soka la vijana la England ndio maana hata sasa timu ya taifa ya England ya wakubwa na wadogo inafanya vizuri.

Kipindi cha miaka 7 ilopita ligi iliporomoka hasa liverpool,Arsenal na Man u.Lakin mwaka jana na huu zimerudi kwenye mstari hata ile top 4 haipo bali ni top 6.
Ligi za Italy,Bundersliga,Ligue 1,eredivise na zinginezo zimepunguza ufanisi.
Katika kipindi cha miaka 7 ilopita tuliona man u anafungwa na Bilbao,liverpool anafungwa fainali na sevila,arsenal anafungwa 10-1 na Munich.Lakin kwa sasa hilo haliwezi kutokea.Labda ndio mwanzo wa kurudisha utawala wa EPL na kuzika rasmi utawala wa La liga.
 
Back
Top Bottom