KILICHO WAGHALIMU BARCA NA AJAX NI LIGI WANAZOTOKA

KILICHO WAGHALIMU BARCA NA AJAX NI LIGI WANAZOTOKA

Nyie mnaosema Ajax katangazwa bigwa wakati ligi yao bado match na wako sawa point na PSV mnajielewa kweli
1092682
 
Mnapozungumzia ushindani nashindwa kuwaelewa kabisa, Man City anakusanya vikombe vyote mezani vya ndani ya nchi, na ligi anabeba kwa mara ya pili mfululizo huku akiweka rekodi za kufunga mabao mengi. Huo Ushindani upo Wapi?
Ligi haijaisha wewe... Na hata kama city atabeba,atampita liverpool ponti moja tu,huo ndio ushindani,sasa itally juve katangazwa ubingwa kwa gape la point 20 na bado ana michezo kama mitatu hivi.. Huoni tofauti hapo.
 
Mkuu wewe ni EPL fan ndio mana. Kwa wasiokua EPL fans achilia wolve hata Arsenal na Man Utd kuzitizama ni kujichosha. HUjalazimishwa kutizama La Liga tuachie wenyewe tutizame.
Mabonaza!! Hahahaaa! Wazee wa azam tv...!
 
Ligi haijaisha wewe... Na hata kama city atabeba,atampita liverpool ponti moja tu,huo ndio ushindani,sasa itally juve katangazwa ubingwa kwa gape la point 20 na bado ana michezo kama mitatu hivi.. Huoni tofauti hapo.
Barcelona amecheza mechi 36 Ana points 83 Goal difference 52...Huesca wa mwisho La liga amecheza 36 Ana points 30 Goal difference -22
Man City
amecheza mechi 37 Ana points 95 Goal difference 69...Huddersfield wa mwisho Epl amecheza mechi 37 Ana points 15 Goal difference -54.
kwa haraka haraka tu utaona hapo kuwa Epl ligi imelala upande mmoja haijabalance...hapo nimefupisha tu tafuta table ujionee mwenyewe utofauti uliopo kati ya timu za juu na za chini za Epl na La liga.
 
We nae..
 
Wabongo kazi kusifia vya wenzao wakati yakwao yamewashinda.
Mnakalia kubishana ligi za wenzenu wakati za kwenu chaliii.
Pathetic
 
Kuna jambo hapo sijakupata mkuu sasa kama ni hivyo why darasa A kila miaka mingi kombe lipo kwao tuu na wakati huwa wanakutana na darasa B? Hapo ndipo utaweza tofautisha pamoja na kwamba La Liga Ina madrid barca na ATM lakini ndizo timu zinazoipa ubora la LaLiga kwa kubeba UCL muda mwingi.
 
Kuna Watu wamekuwa wakipinga Sana Kuwa ukiwaambia EPL ni ligi Bora duniani ,,,narudua Kwa herufi kubwa LIGI BORA DUNIANI.... point kuu wanazo Toa wanao pingaga huu ukweli ni Namna tim za Spain zinavyopeta UEFA au zile back to back za Madrid kuchukua UEFA..

Kwa na Namna Fulani wanakua na point japo haina mashiko! tunapo zungumzia ubora wa ligi.....
Ubora wa ligi na ubora wa vilabu shiriki kwenye ligi ni vitu viwili tofauti

KWA MAFANO
Kuna Darasa A na Darasa B,, Darasa A wakwanza na wapili wanapata 90 lakini kuanzia watatu ni 20 kushuka chini mpaka ziro lakini B wao hawapati 90 wapo kwenye 75 lakini Darasa zima Hakuna alie chini ya 70 ...wamefungana na kupishana point...

Kwa wastani B Ndio Darasa Bora..!!
Kwasababu wanafaulu Darasa zima na wanakua na wastani mkubwa Sana japo Hakuna anaepata 90
Hivyo A Lina wanafunzi Bora lakini B ni Darasa bora...

Turudi kwenye Soka Spain Kuna Barcelona na Madrid mbili atletico na Real,Hawa Ndio vipanga wa ligi na Hata atletico nao Kwa siku za hivi karibuni wanakua vibonde

Wooootee waliobaki kuanzia sevila mpaka girona Hakuna anaweza akachalenge UEFA

Kule AJAX ligi ya uholanzi Ndio 0 Kabisa

kinachitokea
Kikosi kinakosa ukomavu timu inapata overconfidence wanajiona mafundi wa dunia Kumbe bado....

Ajax kwenye ligi yao Tayar kashatangazwa Bingwa Barcelona pia ...hyo inashusha Hari ya upambaji Kwasababu tayri timu haina presha ya kutoka kapa ukilinganisha na Liverpool na Tottenham,,,, EPL bado game moja lakini Tottenham Hotspur Kuna uwezekano mwakani asiende UEFA Kwa kukosa top four Pia Liverpool matumaini ya EPL yanaota mbawa kutokana na city kuwa seriously kwahyo automatic Tottenham na Liverpool wana uhitaji kuliko AJAX na Barcelona....

Hata wolvermpton anaweza akachalenge timu yoyote ulaya.. Ila Sio Athletic Bilbao ligi ya uingereza inafanya timu zao ziwe ngumu Sana kutonaka na Kuwa kwao kila mechi fainali.

UEFA CHAMPIONS LEAGUE FINAL
UINGEREZA VS UINGEREZA

EUROPA LEAGUE FINAL
UINGEREZA VS UINGEREZA

LIVERPOOL BACK TO BACK FINALS

COME BACK TATU TENA LWA TIMU BORA
MANCHESTER UNITED KWA PSG
LIVERPOOL KWA BARÇA
TOTTENHAM KWA AJAX

Kama hayo hayatoshi kuifanya EPL kuwa ligi bora basi Hamna ligi bora duniani..

Agizia wine yoyote hapo Kempinsky bili nalipia mkuu, you naired everything bro,bravooo
 
Ligi haijaisha wewe... Na hata kama city atabeba,atampita liverpool ponti moja tu,huo ndio ushindani,sasa itally juve katangazwa ubingwa kwa gape la point 20 na bado ana michezo kama mitatu hivi.. Huoni tofauti hapo.

Kwaiyo ushindani ni kua kampita Liverpoll kwa point moja msimu huu? msimu ulipita je aliwaacha kwa point ngapi?
Sioni tafauti kati ya City na PSG au Juventus mana wote wanamaliza ligi na 90+ points, hiyo yote ni kuonesha jinsi gani amezinyanyasa timu zengine.
 
Back
Top Bottom