KILICHO WAGHALIMU BARCA NA AJAX NI LIGI WANAZOTOKA

Arsenal hakuwahi kufungwa 10-1 kwa sababu mpira ni dakika 90.
Alifungwa 5-1 na mechi ya pili 1-5.
Msipotoshe umma kwa chambuzi za kipambe kama genge la Sports Bar.
 

Mnapozungumzia ushindani nashindwa kuwaelewa kabisa, Man City anakusanya vikombe vyote mezani vya ndani ya nchi, na ligi anabeba kwa mara ya pili mfululizo huku akiweka rekodi za kufunga mabao mengi. Huo Ushindani upo Wapi?
 
Unaweza kuangalia watfod vs wolves kwa dakika tisini.but sidhani kama unaweza kuangalia girona vs alaves kwa dakika tisini. Ni hayo tu....

Mkuu wewe ni EPL fan ndio mana. Kwa wasiokua EPL fans achilia wolve hata Arsenal na Man Utd kuzitizama ni kujichosha. HUjalazimishwa kutizama La Liga tuachie wenyewe tutizame.
 

Acha kuongea Pumba, Wakati Barca anwin treble, Real anafululiza 3 champion league Iyo Logic yako inafanya kazi wapi?
 
Ila hii fainali haitakuwa na mvuto sana kama zilizopita.
Timu zilizoingia hasa Totte haina mashabiki wengi duniani kiasi cha kufanya usiku wa fainali watu wasilale.
Wale wote tusioipenda Liver tutakuwa kunasubiri muujiza tu maana inajulikana kabisa wana mpira mzuri kuliko Totte.
 
Nahisi ligi ya Haji Manara basi itakuwa bora kuliko zote. Mana Simba ndio Bingwa msimu huu.
 
Unaweza kuangalia watfod vs wolves kwa dakika tisini.but sidhani kama unaweza kuangalia girona vs alaves kwa dakika tisini. Ni hayo tu....
anayeweza kuangalia watford vs wolves kwa dakika tisini ni mpenzi (mfuatiliaji wa epl na wale watu wakubet) na vilevile mpenzi wa La liga ((mfuatiliaji wa la liga) kwake ataona bora aangalie girana vs alaves. Kinachoamua hapo ni idadi ya wapenzi wa ligi fulani na wala sio kwavile wolves na watford ni timu bora zaidi ya Alaves na Girona. Epl ina wapenzi wengi duniani kuliko ligi zingine zote duniani.
 
Sorry mkuu nime google kwa mujibu Wa FIFA no 1 in EPL 2 LA liga 3 serie A 4 bundesliga na 5 ,Ligue 1
 
Spain wametawala ulaya takriban miaka 8 hyo england mwaka 1 tu wanachonga ni bora wangekuwa kama Spain misimu 8 ingekuaje sasa
Nyie England mwakan bebeni tenah ndyo kidogo tutawafikiria
 

1) nitakuona upo sahihi kama huo ubora wa Epl unaupa kwa rejea ya msimu huu na wala sio kwa kutumia rejea ya miaka nane nyuma (2018 kurudi nyuma)

2) kuna vigezo vingi vya kujua ubora wa shule lakini moja ya njia moja wapo ni kuchukua wanafunzi vipanga wa Shule 'A' kwenda kuwashinda na vipanga wenzao wa shule B', C', C, D, nakadhalika. Je ikitoka anayewaongoza woote katoka Shule C' je tutasemaje kuhusu ubora wa shule iliyotoa kipanga bora kwa wote?

3) katika mpira kuna zama (vipindi) kuna kipindi timu za uingereza walikuwa bora zaidi kuliko timu zingine, huwezi kukosa timu 3 za uingereza kwenye robo fainali lakini zama zao zilipita. Waitaliano nao kipindi fulani walikuwa bora kuliko timu zingine huwezi kumkosa Ac milan, intermilan na juventus kwenye robo fainali lakini nao wakapotea.

Kwa miaka takribani nane timu za hispania zimesumbua sana kwenye UEFA na EUROPA kwasababu timu zao zilikuwa bora zaidi kuliko timu zingine. Hata ikikutanishwa timu za Uingereza vs Hispania bado uingereza zilipata tabu.

4)tokea mwaka jana tumeshuhudia kuanza kushuka kwa ubora wa timu za Hispania na pia tumeshuhudia kuanza kupanda kwa ubora kwa timu za uingereza.
Msimu huu timu za Epl zimekuwa bora zaidi kuliko timu zote
 
Wooootee waliobaki kuanzia sevila mpaka girona Hakuna anaweza akachalenge UEFA
Sevilla hiihii iliyowanyoa hao Liverpool kwenye final ya Europa Ligue hapo Basel Switzerland May18th 2016 tena kwa comeback ya 3-1.
Au Sevilla iliyoisambaratisha Man United 2-1 hapo hapo Oldtraford England na kuwatoa hatua ya 16 bora na kumuacha Mourinho akiwa hana lakusema.
Si ndiyo Sevilla hiihii mabingwa wa kihistoria wa Europa Ligue wakiwa wamechukua mara 5 huku wakichukua mara 3 mfululizo au siyo hii? au hii haitoki La liga Spain?
You have to respect your elders.
 
Nasema hivi EPL NI BABA LAO DUNIANI KOTE KWA UBORA.

CR7 kashasepa, Messi age gone na ndiyo wachezaji waliohamasisha sana laliga kuonekana ina ubora lkn haina lolote, yajayo yanafurahisha[emoji87][emoji28]
 
Ajax kacheza final mwaka 95 kachukua kwa kumfunga Ac Milan 1-0 na mwaka 96 kacheza tena final akafungwa na Juve...acha kubwabwaja njoo na evidence kuna miaka 50 hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…